The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Anavipenda sana π πHuu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.
Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.
Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.
Maendeleo hayana vyama!
Ni kama Lyatonga na Cheyo wanavyomsapoti JPM. Ni urafiki tu, kwamba Tundu Lisu anapendezwa akiona Maalimu Seif ana shinda and vice versa. Hata wasipotamka hii inaweza kuwa implemented kwa kuweka chapuo za chama rafiki kwenye mikutano. Hofu ya refa sijui inatoka wapi?? Hii ni kama fair play tu kati ya vyama. Nothing more nothing less.Sheria inasemaje?
Akivifuta na sisi tutamfuta yeyeHuu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.
Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.
Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.
Maendeleo hayana vyama!
Aanze na CCMHuu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.
Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.
Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.
Maendeleo hayana vyama!
Hapo CCM wanachanganyikiwaNi kama Lyatonga na Cheyo wanavyomsapoti JPM. Ni urafiki tu, kwamba Tundu Lisu anapendezwa akiona Maalimu Seif ana shinda and vice versa. Hata wasipotamka hii inaweza kuwa implemented kwa kuweka chapuo za chama rafiki kwenye mikutano. Hofu ya refa sijui inatoka wapi?? Hii ni kama fair play tu kati ya vyama. Nothing more nothing less.
Naomba picha jamaa akipigishwa magoti π π πMbaya zaidi kuvifuta hawezi na hata Magufuli hawezi. Shida zote za kupiga magoti mbele ya watoto wadogo anazopata ni vile hawezi kuvifuta kama asivyoweza msajili.
Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.
Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.
Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa UDP ya cheyo na Tlp ya mrema sheria ilisemaje?Sheria inasemaje?