Msajili wa Vyama angesubiri tu CHADEMA na ACT-Wazalendo viungane ili avifutilie mbali badala ya kulalamika lalamika kila siku!

Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.

Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.

Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.

Maendeleo hayana vyama!
Anavipenda sana 😁 😁
 
Hana mapana hayo ukiona adui yako anakupa taarifa za kukudhuru ujue anakutisha na anakuogopa Sana, TL sio Lowasa atapambana nao mpka wajambe
 
Mimi naona anasema vizuri kwamba wasiungane na siyo Kama wao walivyosema watashirikiana.
 
Sheria inasemaje?
Ni kama Lyatonga na Cheyo wanavyomsapoti JPM. Ni urafiki tu, kwamba Tundu Lisu anapendezwa akiona Maalimu Seif ana shinda and vice versa. Hata wasipotamka hii inaweza kuwa implemented kwa kuweka chapuo za chama rafiki kwenye mikutano. Hofu ya refa sijui inatoka wapi?? Hii ni kama fair play tu kati ya vyama. Nothing more nothing less.
 
Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.

Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.

Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.

Maendeleo hayana vyama!
Akivifuta na sisi tutamfuta yeye
 
Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.

Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.

Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.

Maendeleo hayana vyama!
Aanze na CCM
 
Ni kama Lyatonga na Cheyo wanavyomsapoti JPM. Ni urafiki tu, kwamba Tundu Lisu anapendezwa akiona Maalimu Seif ana shinda and vice versa. Hata wasipotamka hii inaweza kuwa implemented kwa kuweka chapuo za chama rafiki kwenye mikutano. Hofu ya refa sijui inatoka wapi?? Hii ni kama fair play tu kati ya vyama. Nothing more nothing less.
Hapo CCM wanachanganyikiwa
 
Mbaya zaidi kuvifuta hawezi na hata Magufuli hawezi. Shida zote za kupiga magoti mbele ya watoto wadogo anazopata ni vile hawezi kuvifuta kama asivyoweza msajili.
Naomba picha jamaa akipigishwa magoti 🙂 🙂 🙂
 
Huu sasa umekuwa kama mwimbo kila siku msajili wa vyama vya siasa analalamika Chadema na ACT wazalendo kutaka kuungana kinyume cha sheria.

Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.

Ni simple tu badala ya kuwa anatuimbia daily tunachoka bhana.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini Dkt. Nyahoza asisubiri tu hivyo vyama viungane kisha avifutilie mbali.
Haha we jamaaa unavituko
 
Back
Top Bottom