Msajili wa vyama, huu upuuzi wa kuwateua wagombea kihuni huni wangeufanya CHADEMA ungewafungia?

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Niliandika uzi ukadondoshwa....
Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha,

Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref vile....

Nilikuwa nahoji taratibu za mbogamboga sawa na ilivyo ainishwa kwenye katiba yetu kwamba mgombea atachukua form, atatafuta wadhamini yeye pamoja na mgombea mwenza na kisha procedures zitarudi secretariet kuu na kisha mkutano mkuu utayaidhinisha majina husika (kama nimekosea nisahihisheni)

Swali langu la kiwaki ni kuwa kwa process hizo zilizokiukwa, wangekiuka wengine, je wangeachwa ???
As pia kila chama kinawajibishwa kulingana na sheria zao walizojiwekea wenyewe, na hapa sheria ya mbogamboga haijafwatwa.

Mind you guys, YULE MGOMBEA MWENZA NA YEYE ATAKUWA MAKAM WA KWANZA KUWAH KUKAJQGA IKULU BILA YA KUDHAMINIWA NA WANACHAMA

The due process am speaking about here ni kuwa wagombea wote wawili hawajaaminiwa na wanachama au hawajadhaminiwa ili kurudi tena ikulu... HATA KAMA FORM INGETOLEWA MOJA, BADO PROCEDURES ZILIPASWA ZIFWATWE

Kwanini anapitia dirishani huyu maza ?????

Wanaforce kubakia mjengoni,
Wanaforce kuajiri rafiki na ndugu zao walokwisha kustaafu,
Wanaforce nje ya utaratibu, nje ya kanuni za maadili.

Kwamba MBOGAMBOGA TUMEKOSA WATU MAKINI WA KUMZUIA HUYU MWIVI ANAETAKA KUINGILIA DIRISHANI ?
 
Nimeandika uzi wangu wameufuta,
Shida ni kuwa niliwasemq mbogamboga bila kuwaficha,

Najarib niwasilishe nilichoandika japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref vile....

Nilikuwa nahoji taratibu za mbogamboga sawa na ilivyo ainishwa kwenye katiba yetu kwamba mgombea atachukua form, atatafuta wadhamini yeye pamoja na mgombea mwenza na kisha procedures zitarudi secretariet kuu na kisha mkutano mkuu utayaidhinisha majina husika (kama nimekosea nisahihisheni)

Swali langu la kiwaki ni kuwa kwa process hizo zilizokiukwa, wangekiuka wengine, je wangeachwa ???
As pia kila chama kinawajibishwa kulingana na sheria zao walizojiwekea wenyewe, na hapa sheria ya mbogamboga haijafwatwa.

Mind you guys, YULE MGOMBEA MWENZA NA YEYE ATAKUWA MAKAM WA KWANZA KUWAH KUKAJQGA IKULU BILA YA KUDHAMINIWA NA WANACHAMA

The due process am speaking about here ni kuwa wagombea wote wawili hawajaaminiwa na wanachama au hawajadhaminiwa ili kurudi tena ikulu... HATA KAMA FORM INGETOLEWA MOJA, BADO PROCEDURES ZILIPASWA ZIFWATWE

Kwanini anapitia dirishani huyu maza ?????
IMG-20250719-WA0032.jpg
 
Leo hautoondoshwa maana Polepole keshafungulia mbwa🤣🤣🤣🤣.

Bibi kaingia mitini Dodoma, wakulungwa hawacheki na yeyote sasa hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hawa huwa wanatia huruma SIKU wakistaafu unakutana NATO tumechoka hatuna afya malaana ya WA tz ... ACHA TU mkuu
 
Niliandika uzi ukadondoshwa....
Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha,

Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref vile....

Nilikuwa nahoji taratibu za mbogamboga sawa na ilivyo ainishwa kwenye katiba yetu kwamba mgombea atachukua form, atatafuta wadhamini yeye pamoja na mgombea mwenza na kisha procedures zitarudi secretariet kuu na kisha mkutano mkuu utayaidhinisha majina husika (kama nimekosea nisahihisheni)

Swali langu la kiwaki ni kuwa kwa process hizo zilizokiukwa, wangekiuka wengine, je wangeachwa ???
As pia kila chama kinawajibishwa kulingana na sheria zao walizojiwekea wenyewe, na hapa sheria ya mbogamboga haijafwatwa.

Mind you guys, YULE MGOMBEA MWENZA NA YEYE ATAKUWA MAKAM WA KWANZA KUWAH KUKAJQGA IKULU BILA YA KUDHAMINIWA NA WANACHAMA

The due process am speaking about here ni kuwa wagombea wote wawili hawajaaminiwa na wanachama au hawajadhaminiwa ili kurudi tena ikulu... HATA KAMA FORM INGETOLEWA MOJA, BADO PROCEDURES ZILIPASWA ZIFWATWE

Kwanini anapitia dirishani huyu maza ?????

Wanaforce kubakia mjengoni,
Wanaforce kuajiri rafiki na ndugu zao walokwisha kustaafu,
Wanaforce nje ya utaratibu, nje ya kanuni za maadili.

Kwamba MBOGAMBOGA TUMEKOSA WATU MAKINI WA KUMZUIA HUYU MWIVI ANAETAKA KUINGILIA DIRISHANI ?
Msajili hahusiki na hajishughulishi na masuala ya uchaguzi mkuu.
 
Ah, sawa ila ndiye mlezi wa vyama., kila hatua ambacho chama hufanya kinyume na katiba yake yenyewe ya chama husika,.....msajili) ndiye mwangalizi nambari moja.

Hivyo yeye ndoye alikuwa wa kuwakumbusha mbogamboga kuwa wamevuka mstari.
 
Akifanya hivyo atakuwa ameingilia kazi ya chombo kingine (Tume ya Uchaguzi).

Chaguzi za ndani ndiyo ziko ndani ya uangalizi wake.
 
Lakini mgombea urais na mgombea mwenza wanapatikana kupitia chaguzi za ndani ya vyama, huo bado siyo uchaguzi mkuu
 
Ah, sawa ila ndiye mlezi wa vyama., kila hatua ambacho chama hufanya kinyume na katiba yake yenyewe ya chama husika,.....msajili) ndiye mwangalizi nambari moja.

Hivyo yeye ndoye alikuwa wa kuwakumbusha mbogamboga kuwa wamevuka mstari.
Lazima awepo mlalamikaji wa chama husika.

Nani amempelekea hayo malalamiko?

Halmashauri Kuu ya Sisiemu ndicho chombo chenye mamlaka yote chamani na kinaweza kufanya lolote pasikuhojiwa.

Ndivyo wasemavyo wao.

Mjumbe hauawi wakuu!
 
Ah, sawa ila ndiye mlezi wa vyama., kila hatua ambacho chama hufanya kinyume na katiba yake yenyewe ya chama husika,.....msajili) ndiye mwangalizi nambari moja.

Hivyo yeye ndoye alikuwa wa kuwakumbusha mbogamboga kuwa wamevuka mstari.
Mbona kule kaziia ruzuku kwa kusema Mnyika na wengine kuchaguliwa kwao akidi haikutimia!!

Wakati wa Mungu kuwaumbua umefika
 
Msajili hahusiki na hajishughulishi na masuala ya uchaguzi mkuu.
Vinaongelewa vyama vya siasa sio uchaguzi mkuu.Michakato ndani ya chama msajili anahusika kama sheria na kanuni za vyama zinafuatwa
 
Shida ya vyote hivi imeletwa na Katiba mbovu
 
Niliandika uzi ukadondoshwa....
Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha,

Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref vile....

Nilikuwa nahoji taratibu za mbogamboga sawa na ilivyo ainishwa kwenye katiba yetu kwamba mgombea atachukua form, atatafuta wadhamini yeye pamoja na mgombea mwenza na kisha procedures zitarudi secretariet kuu na kisha mkutano mkuu utayaidhinisha majina husika (kama nimekosea nisahihisheni)

Swali langu la kiwaki ni kuwa kwa process hizo zilizokiukwa, wangekiuka wengine, je wangeachwa ???
As pia kila chama kinawajibishwa kulingana na sheria zao walizojiwekea wenyewe, na hapa sheria ya mbogamboga haijafwatwa.

Mind you guys, YULE MGOMBEA MWENZA NA YEYE ATAKUWA MAKAM WA KWANZA KUWAH KUKAJQGA IKULU BILA YA KUDHAMINIWA NA WANACHAMA

The due process am speaking about here ni kuwa wagombea wote wawili hawajaaminiwa na wanachama au hawajadhaminiwa ili kurudi tena ikulu... HATA KAMA FORM INGETOLEWA MOJA, BADO PROCEDURES ZILIPASWA ZIFWATWE

Kwanini anapitia dirishani huyu maza ?????

Wanaforce kubakia mjengoni,
Wanaforce kuajiri rafiki na ndugu zao walokwisha kustaafu,
Wanaforce nje ya utaratibu, nje ya kanuni za maadili.

Kwamba MBOGAMBOGA TUMEKOSA WATU MAKINI WA KUMZUIA HUYU MWIVI ANAETAKA KUINGILIA DIRISHANI ?
Msajili yuko bize anafukua mtaro wa Lembrus Mchome
 
Vinaongelewa vyama vya siasa sio uchaguzi mkuu.Michakato ndani ya chama msajili anahusika kama sheria na kanuni za vyama zinafuatwa
Huo ni mchakato wa uchaguzi mkuu. Msajili hana record ya kujihusisha na michakato ya uchaguzi mkuu. Kumbuka, Msajili vilevile hakuingilia ule mchakato uliomweka Lowassa kuwa mgombea wa CHADEMA mwaka 2015 ingawa ulikuwa na dosari kadhaa za kiufundi.
 
Niliandika uzi ukadondoshwa....
Shida ni kuwa niliwasema mbogamboga bila kuwaficha,

Najarib niwasilishe nilichoandika kwenye ule uzi ulodondoshwa japo kwa ufupi as siwez tena kuandika uzi mref vile....

Nilikuwa nahoji taratibu za mbogamboga sawa na ilivyo ainishwa kwenye katiba yetu kwamba mgombea atachukua form, atatafuta wadhamini yeye pamoja na mgombea mwenza na kisha procedures zitarudi secretariet kuu na kisha mkutano mkuu utayaidhinisha majina husika (kama nimekosea nisahihisheni)

Swali langu la kiwaki ni kuwa kwa process hizo zilizokiukwa, wangekiuka wengine, je wangeachwa ???
As pia kila chama kinawajibishwa kulingana na sheria zao walizojiwekea wenyewe, na hapa sheria ya mbogamboga haijafwatwa.

Mind you guys, YULE MGOMBEA MWENZA NA YEYE ATAKUWA MAKAM WA KWANZA KUWAH KUKAJQGA IKULU BILA YA KUDHAMINIWA NA WANACHAMA

The due process am speaking about here ni kuwa wagombea wote wawili hawajaaminiwa na wanachama au hawajadhaminiwa ili kurudi tena ikulu... HATA KAMA FORM INGETOLEWA MOJA, BADO PROCEDURES ZILIPASWA ZIFWATWE

Kwanini anapitia dirishani huyu maza ?????

Wanaforce kubakia mjengoni,
Wanaforce kuajiri rafiki na ndugu zao walokwisha kustaafu,
Wanaforce nje ya utaratibu, nje ya kanuni za maadili.

Kwamba MBOGAMBOGA TUMEKOSA WATU MAKINI WA KUMZUIA HUYU MWIVI ANAETAKA KUINGILIA DIRISHANI ?
Ila kwa hili hata wapinzani wanaweza kumuwekea pingamizi mgombea wa ccm 2025 ikiwa atakuwa ni Samia.
 
Back
Top Bottom