Msajili wa vyama tusaidie: Ruzuku kazi yake kutibia Viongozi wa vyama? Mbowe rudisha milioni 400 za matibabu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Kazi ya ruzuku Ni ipi? Kutibia Viongozi wa vyama au kuwalipia faini wakifanya uhalifu? Msajili wa vyama tusaidie.Mbowe alichukua pesa za ruzuku milioni 400 kea kile kinachoitwa kumtibia Lisu.Wateuana kikundi Cha wezi watatu Mbowe,Godbless Lema na Msigwa wakaa muda mrefu Sana Nairobi wakilipwa pesa za kigeni za ruzuku ya chama kwa kile walichokiita kumuuguza Tundu Lisu Hali wakijua wazi kuwa wao sio madaktari Wala manesi.Walikuwa wakiuguza Nini? Mke wa Lisu alikuwa kule

Msajili tusaidie hili genge la watu wezi watatu walikuwa wakiuguza Nini Nairobi?

Mbowe alichukua milioni 400 kwa kinachoitwa matibabu ya Lisu.Swali Ni je hiyo ndio kazi ya Ruzuku ? Kulipia matibabu na kulipia watu wanajiita waiguzaji wakati fani ya uuguzi hawana ? Mbowe Ni form six division zero,Msigwa mchungaji wa Kanisa la mfukoni hata ukimwambia aonyeshe lilipo hawezi na Godbless Lema alikuwa mwizi wa magari.Walikuwa wanauguza nini
 
Hivi Ndugai alitibiwa kwa fedha gani?

Hizi za Chadema zimetoka Serikalini kwenda kwenye chama sijui nani anapanga matumizi ya hizo fedha, ila hizi za Ndugai hazijatoka kwenye Chama ila yeye na Jiwe wameamua tu kuchota na kumtibia.

Mbona huulizi matumizi mabaya ya Ndege ya Rais? Ilisafiri mile kadhaa kwenda Madagascar kufuata zile box 11 za Mitishamba, si wangetumia hata DHL?
 

Mataahira huwa hawanaga kumbukumbu mkuu,ni wa kumdharau tu huyo jamaa
 
Nadhani una matatizo binafsi na hawa watu. Nashindwa kutilia maanani "allegations" zako.
 
Upuuzi mtupu
 
Kutoka bil 8 had I mil 400 sio mchezo ,nimeamini ukiwa ccm unakuwa kama mtoto mchanga lazima ulale na nepi/ juzi juzi hapa mlikuwa mnalilia BL 8 sahivi imekuwa mil 400
bilioni 8 alizoiba mbowe + jumlisha mil 400 ukijumlisha na zile alizonunua matrekta milioni 100 jumla inakuja bilioni 8.5.
huu ni ufisadi wa fedha za chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai alitibiwa kwa pesa za serikali yule ni spika. Ruzuku kinapewa chama kwa ajili ya matumizi ya chama sio matibabu ya mbunge.
Ndege ya rais ilitumika kwa matumizi ya serikali sio ya mtu binafsi.
 
 

Msajili hafanyi kazi kwa kusikia wambea....mwandikie CAG aambatanishe umbea wako katika report yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…