Msajili wa vyama vya siasa, acha kujikweza kwa CCM!

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Nasema uache kujipendekeza kwa CCM kwasababu mgombea wo wa uraisi ameshawatisha wananchi lakini hukuchukua hatua yoyote.

Mgombea wa CCM anawaambia wananchi wasipochagua CCM watajuta na hatawaletea maendeleo. Mlichukua hatua gani?

Kuna vyama viliunga mkono mgombea wa CCM lakini mlikaa kimya. Vingine havikusimamisha kabisa mgombea wa uraisi ili kumuunga mkono JPM.

kwanini sasa ACT wanaposema wanamkubali Lissu muanze kuwaandikia barua za kujieleza? Msitake kutuletea machafuko yasiyo ya lazima.
 
Watanzania tusimamie kura zetu zisiibiwe kwa namna yoyote ile...
 
Niupenda Sana mwaka 2015 ila mwaka 2020 kwangu nimeupenda zaidi, Yani mie sio tajiri ila moyo wangu unaamani Sana, na furaha tele
 
Baba yake alikuwa mwanzilishi wa chadema asitutishe tutamsea kwa baba yake
 
Katiba Mpya ndiyo dawa pekee ya kupunguza mamluki na wanafiki kama huyo msajili wa vyama vya siasa asiyejitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…