Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

Waandishi wengine mko hopeless sana.

Kwanza umepotosha the whole lengo Press Conference ya CHADEMA.

Kwa kifupi umeripoti out of the context. Umepotosha kwa lengo na kusudi lako ovu.
 
Akili za mtoa mada ni mavi ya kuku....masusu kabisa
 
Heche ana njaa? Hujui kitu tulia, uliza waliokaribu naye utajua habari zake
hahaaaaa yaani katika watu wenye njaaa ni heche nilishamsikiliza siku moja anahojiwa akaulizwa hilo swali je unawaonea wivi wenzio wakiwa bungeni?akawa anachekacheka tu
 
Francis Mutungi ambaye rekodi yake ya kuvuruga vyama vya siasa kwa kusaidia kupandikiza migogoro bado haijavunjwa , leo tena ameamua kujiingiza kwenye sakata la wabunge 19 waliotimuliwa kihalali Chadema ili kuwaokoa na kuiokoa ccm bungeni.

Hayo yamesemwa na Benson Kigaila ambaye ni naibu Katibu Mkuu wa Chadema , alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , Mh Kigaila amesema kwamba Chadema imepokea barua kutoka Ofisi ya Msajili huyo ikiwajulisha kwamba kuna malalamiko ofisini kwake kuhusiana na Wabunge waliotimuliwa , anataka Chadema itoe maelezo bila hata kutaja hayo malalamiko yenyewe , anataka kuwaokoa wasaliti hao huku akijua kwamba wamekata rufaa baraza kuu , amelenga kuwaokoa kama alivyomuokoa Lipumba .

Chadema imeahidi kutomjibu Mutungi hadi pale Baraza kuu litakapojadili rufaa zao
 
mtaelewa tu kwanza huyo kigaila alishagawahi kuwatambua hao wabunge 19 baadae sijui alikuwa hajawasiliana na wenzie akaja kubadirika hamna viongozi chadema kuna wababaishaji tu
 
Hao 19 wanaosemekana kuwa ni Wabunge wa CHADEMA wangekuwa wawazi na kusema ni nani aliyewapeleka Bungeni kuapishwa kwa mgongo wa CHADEMA na kuomba msamaha na wakubali kutoka Bungeni na hivyo naona CHADEMA inaweza kuwasamehe. CHADEMA ni Chama Kikuu cha upinzani na ina wananchama kila kona ya nchi hii na mwaka 2025 kama uchaguzi utakuwa huru CHADEMA itakuja kuwa na Wabunge wengi sana. Hawa akina Mama hawakuona mbali walidhani kuwa hapatakuwa na mabadiliko ya uongozi katika nchi hii.
 
Nikipewa Urais wa nchi wa masaa 24 tu,kwa kutumia katiba hii ya kidikiteta kufikia saa 8am nitakua nimefutilia mbali uozo huu wa ofisi ya msajili wa vyama,vyama vyote vya kisiasa vitasajiliwa na NEC(national elections commission)maana wao ndio wenye uchaguzi na wao ndio wanaoendesha uchaguzi,halafu huyu msajili anajiita naye judge!!hawa ndio wenye mafaili kule Mirembe hosp.mbona hakuhoji wakati Mr.Membe alipo fukuzwa chama dola?unapopewa madaraka kama haya jitahidi uache fair legacy nyuma yako
 
Pia haiondoi ukweli kuwa kwa hali ilivyo CHADEMA wanakereka sana kuwaona akina Mdee wakiwa bungeni kinyume cha matakwa yao
Kabisa
Na wanaumia zaidi wakisikia mahabusu anatolewa usiku gerezani na kesho yake kuamkia dodoma kuapishwa kua mbunge viti maalum
 
Huo ni ushahidi mzuri wa msajili kupokea malalamiko.
Chadema ilishawafukuza.
Waliofukuzwa wamethibitisha bungeni,kwa msajili na baraza kuu.
Bungeni wapo kwa mgongo wa chama kipi?
Wanachokoza hasira za wananchi.
Haihitaji elimu kubwa;
Msajili alitakiwa awashauri wawe nje ya bunge wanaposubiri rufaa.

Walipokwenda bungeni msajili alipewa taarifa na chadema?
CUF ameiua kwa mbinu hizihizi zakuona yeye ndiye mwamuzi.
Mwanachama anatambulika anakoishi siyo kwa msajili.

Hizo mbinu ovu zikemewe Mara moja.
 
Kwanza akawaulize ccm kwanini walimfukuza uanachama Sophia Simba,Benard Membe.Lowasa,Nyarandu.
 
Kabisa
Na wanaumia zaidi wakisikia mahabusu anatolewa usiku gerezani na kesho yake kuamkia dodoma kuapishwa kua mbunge viti maalum
Sio utaratibu kinachowakera sheria hazifuatwi.
Kwanini ccm hawampi ubunge viti maalum Sophia Simba waliyemfukuza?
Au wale wa CUF lipumba aliowafukuza.
 
BARAZA KUU FUKUZENI HAO MALAYA WA KISIASA Waende CCM MBONA KUJIUNGA NI HIARI
 
Usipende kutukana watu bila sababu. Hao wanapenda cdm Kama wewe unavyopenda ccm.
Mbowe hawezi kuwafukuza mademu zake haposhida ni kwa wengine walioshindwa kuingiza mademu zao chadema ni li chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
 
Watu kama Jaji Mutungi wakifa ni ahueni kubwa kwa ustawi wa demokrasia nchi, ewe Mwenyezi Mungu tuondolee hii takataka kwenye uso wa dunia.
 
ndugu Kigaila umekosea sana, ulipaswa ujibu barua ya Msajili wa vyama kwani tunajua kuwa Msajili ndio mlezi wa vyama vingi, hivyo anapo pokea au kusikia malalamiko ya wanachama wenu unatakiwa kimsingi ujibu hoja sio kukwepa hoja.
Jambo la kina Mdee na wenzake linajulikana wazi kabisa huna haja ya kumkejeli na kumpotezea muda Msajili eti unamtaka aambatanishe barua ya malalamiko ya kina mdee!!!
viongozi wetu tunawaomba mjifunze ustaarabu na uungwana.
viongozi wetu wa chadema acheni tabia ya kudharau mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…