Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Heche ana njaa? Hujui kitu tulia, uliza waliokaribu naye utajua habari zakewewe utakuwa heche ananjaa mpaka kila siku anawaonea wivu wenzie kuwa wabunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heche ana njaa? Hujui kitu tulia, uliza waliokaribu naye utajua habari zakewewe utakuwa heche ananjaa mpaka kila siku anawaonea wivu wenzie kuwa wabunge
hahaaaaa yaani katika watu wenye njaaa ni heche nilishamsikiliza siku moja anahojiwa akaulizwa hilo swali je unawaonea wivi wenzio wakiwa bungeni?akawa anachekacheka tuHeche ana njaa? Hujui kitu tulia, uliza waliokaribu naye utajua habari zake
Mmeshikwa pabaya sana Mamluki nyiemtaelewa tu kwanza huyo kigaila alishagawahi kuwatambua hao wabunge 19 baadae sijui alikuwa hajawasiliana na wenzie akaja kubadirika hamna viongozi chadema kuna wababaishaji tu
Kama CCM kwa Sophia na Benard.Chadema ni madikteta
KabisaPia haiondoi ukweli kuwa kwa hali ilivyo CHADEMA wanakereka sana kuwaona akina Mdee wakiwa bungeni kinyume cha matakwa yao
Kwanza akawaulize ccm kwanini walimfukuza uanachama Sophia Simba,Benard Membe.Lowasa,Nyarandu.Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14, 2021, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila amesema chama hicho kimepokea barua kutoka kwa Msajili huyo Julai 6 na wakaijibu Julai 9 mwaka huu.
Katika maelezo yake, Kigaila amesema barua ya Jaji Mutungi imewataka kutoa maelezo hayo kwake baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa waliokuwa wanachama wao 19.
"Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa sababu barua aliyotuandika hajaambatanisha malalamiko ya hawa waliomlalamikia.Tunakiona hapa ni kutaka kuvuruga mchakato wa Baraza la Kuu la Chama linalotakiwa kuketi mwaka huu.
"Huwezi kufungua kesi ya aina moja kwenye mahakama mbili tofauti, hawa watu 19 baada ya kufukuzwa uanachama mwaka jana kisha wakakata rufaa Baraza Kuu, ambalo bado halijakaa.Sasa bado rufaa yao haijasikilizwa wamekimbilia kwa msajili," amesema Kigaila
Kigaila amesema hawawezi kutoa maelezo kwa Jaji Mutungi kwakuwa ni kinyume cha utaratibu wa chama hicho.
"Sasa msajili akisema hakubaliani na maelezo yetu na kwamba hawa watu 19 ni wanachama halali, si amevuruga mchakato wa Baraza Kuu?
Wabunge hao 19, wakiongozwa na Halima Mdee aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la wanawake la Chadema ( Bawacha), walifukuzwa uanachama mwaka jana na kamati kuu ya Chadema baada ya kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa hatua yao ya kuapa kuwa wabunge wa viti maalumu bila ridhaa ya chama.
Chanzo: Mwananchi
Sio utaratibu kinachowakera sheria hazifuatwi.Kabisa
Na wanaumia zaidi wakisikia mahabusu anatolewa usiku gerezani na kesho yake kuamkia dodoma kuapishwa kua mbunge viti maalum
BARAZA KUU FUKUZENI HAO MALAYA WA KISIASA Waende CCM MBONA KUJIUNGA NI HIARIWakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14, 2021, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila amesema chama hicho kimepokea barua kutoka kwa Msajili huyo Julai 6 na wakaijibu Julai 9 mwaka huu.
Katika maelezo yake, Kigaila amesema barua ya Jaji Mutungi imewataka kutoa maelezo hayo kwake baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa waliokuwa wanachama wao 19.
"Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa sababu barua aliyotuandika hajaambatanisha malalamiko ya hawa waliomlalamikia.Tunakiona hapa ni kutaka kuvuruga mchakato wa Baraza la Kuu la Chama linalotakiwa kuketi mwaka huu.
"Huwezi kufungua kesi ya aina moja kwenye mahakama mbili tofauti, hawa watu 19 baada ya kufukuzwa uanachama mwaka jana kisha wakakata rufaa Baraza Kuu, ambalo bado halijakaa.Sasa bado rufaa yao haijasikilizwa wamekimbilia kwa msajili," amesema Kigaila
Kigaila amesema hawawezi kutoa maelezo kwa Jaji Mutungi kwakuwa ni kinyume cha utaratibu wa chama hicho.
"Sasa msajili akisema hakubaliani na maelezo yetu na kwamba hawa watu 19 ni wanachama halali, si amevuruga mchakato wa Baraza Kuu?
Wabunge hao 19, wakiongozwa na Halima Mdee aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la wanawake la Chadema ( Bawacha), walifukuzwa uanachama mwaka jana na kamati kuu ya Chadema baada ya kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa hatua yao ya kuapa kuwa wabunge wa viti maalumu bila ridhaa ya chama.
Chanzo: Mwananchi
Mbowe hawezi kuwafukuza mademu zake haposhida ni kwa wengine walioshindwa kuingiza mademu zao chadema ni li chama la hovyo kuwahi kutokea duniani
Watu kama Jaji Mutungi wakifa ni ahueni kubwa kwa ustawi wa demokrasia nchi, ewe Mwenyezi Mungu tuondolee hii takataka kwenye uso wa dunia.Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14, 2021, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila amesema chama hicho kimepokea barua kutoka kwa Msajili huyo Julai 6 na wakaijibu Julai 9 mwaka huu.
Katika maelezo yake, Kigaila amesema barua ya Jaji Mutungi imewataka kutoa maelezo hayo kwake baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa waliokuwa wanachama wao 19.
"Tumemjibu kuwa hatuwezi kutoa maelezo hayo kwa sababu barua aliyotuandika hajaambatanisha malalamiko ya hawa waliomlalamikia.Tunakiona hapa ni kutaka kuvuruga mchakato wa Baraza la Kuu la Chama linalotakiwa kuketi mwaka huu.
"Huwezi kufungua kesi ya aina moja kwenye mahakama mbili tofauti, hawa watu 19 baada ya kufukuzwa uanachama mwaka jana kisha wakakata rufaa Baraza Kuu, ambalo bado halijakaa.Sasa bado rufaa yao haijasikilizwa wamekimbilia kwa msajili," amesema Kigaila
Kigaila amesema hawawezi kutoa maelezo kwa Jaji Mutungi kwakuwa ni kinyume cha utaratibu wa chama hicho.
"Sasa msajili akisema hakubaliani na maelezo yetu na kwamba hawa watu 19 ni wanachama halali, si amevuruga mchakato wa Baraza Kuu?
Wabunge hao 19, wakiongozwa na Halima Mdee aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la wanawake la Chadema ( Bawacha), walifukuzwa uanachama mwaka jana na kamati kuu ya Chadema baada ya kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa hatua yao ya kuapa kuwa wabunge wa viti maalumu bila ridhaa ya chama.
Chanzo: Mwananchi
Na wewe Mbowe anakutafuna sanaMbowe hawezi kuwafukuza mademu zake haposhida ni kwa wengine walioshindwa kuingiza mademu zao chadema ni li chama la hovyo kuwahi kutokea duniani