johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa!! Huyu Halima Mdee utadhani hakusoma chuo kimoja na Tundu Lisu chini ya Mwalimu Prof Pakamagamba Kabudi.Watakuwa waliambiwa na Ndugai waende kwa msajili maana wanatapatapa, wajinga kweli badala ya kwenye mahakamani wao wamefuata maelezo ya Ndugai
Ni kilaza mwenzakoHahahaaa!! Huyu Halima Mdee utadhani hakusoma chuo kimoja na Tundu Lisu chini ya Mwalimu Prof Pakamagamba Kabudi.
nyie ndiyo mnatakiwa mirembe maana hamjui hata mnachokifanya mbowe anajuwa dili yote ya hao kina dada nyie mmebaki tu kushabikia wapumbavu nyie kaeni hivyohivyo mwenzenu anakula ruzuku na mademu anawatafuna nyie mnakalia kupiga kelele jfHuyu vipi katoroka lini Mirembe?
wanajuwa uhuni walioufanya ndiyo maana wanajifanya kuchelewesha mpaka itafika ule mwaka mwenyekiti kasema anaacha uenyekitiKinachochelewesha hilo baraza kuu kukaa na kulimaliza hili suala once and for all ni nini hasa?
ndugai mbona kawaweza sana hawa vilaza yaani walipeleka majina halafu baadae wakaona wamekosea wanajifanya kuyakataa mnyika anajuwa aliyapeleka hayo majina wanachofanya sasahivi ni uhuni tu ambao spika ameshawashtukia ndiyo maana kamahawawatambui kwanini hawajapeleka wanaowatambua?Huo ubabe na mfumo dume unaonyeshwa wazi wazi kabisa watu fulani kukosa ubunge imekuwa nongwa wakataka hadi yule dada wa Mpanda Katavi amechaguliwa na wananchi vizuri eti asiende bungeni na kitu kingine hayo majina ya wabunge 19 ofisi ya tume ya uchaguzi yalifikaje kama sio chama kilichopeleka halafu mnataka wasiende kuapishwa na baadae mnasema sio wanachama wenu,
huu ni ubinafsi na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake katika kushiriki shughuli za kisiasa.Bunge lisimamie msingi wake wa kutoingiliwa na mtu au taasisi yoyote katika utekelezaji wa shughuli zake.
Njozi njemaohhh.
Mdeee akiamua kupiga ngumi kwenye mshono, ngumi mmoja tu mwenyekiti na chadema yake itasambaratika.
ila bado hajaamua, anawasikilizia.
Dunia ni naniHakuna haja ya kuhangaik nao Mahakamani. Dunia itawachapa viboko.
Anahusika hapaUsitukosee heshima wavuta bangi, huyo hatumtambui ana shida zake mwenyewe
Wewe halima mdee funika upunguani wakoohhh.
Mdeee akiamua kupiga ngumi kwenye mshono, ngumi mmoja tu mwenyekiti na chadema yake itasambaratika.
ila bado hajaamua, anawasikilizia.
Chama kinakwenda na kalenda,Kinachochelewesha hilo baraza kuu kukaa na kulimaliza hili suala once and for all ni nini hasa?
Hao uliowataja kutokea CCM walipofukuzwa hawakwenda kwa msajili kulalamika.Chadema siyo chama Cha kwanza kufukuza wanachama wake. Bernard K. Membe alipofukuzwa CCM hatukusikia msajili wa vyama vya siasa akiitaka CCM itoe maelezo kwa Nini imemfukuza membe. Sheria zifuatwe bila upendeleo. Kwa Nini chadema leo?
Hata Magufuli alimpofukuza uanachama Sophia Simba na wenzake plus kumvua Ubunge msajili hawajawai kuwaambia CCM watoe maelezo ya kwanini waliwafukuza ndo maana tunasema tunataka Katiba Mpya ambayo haitaruhudu Msajili wa Vyama vya Siasa kuteuliwa na Rais.