Huo ubabe na mfumo dume unaonyeshwa wazi wazi kabisa watu fulani kukosa ubunge imekuwa nongwa wakataka hadi yule dada wa Mpanda Katavi amechaguliwa na wananchi vizuri eti asiende bungeni na kitu kingine hayo majina ya wabunge 19 ofisi ya tume ya uchaguzi yalifikaje kama sio chama kilichopeleka halafu mnataka wasiende kuapishwa na baadae mnasema sio wanachama wenu,
huu ni ubinafsi na ukiukwaji mkubwa wa haki za wanawake katika kushiriki shughuli za kisiasa.Bunge lisimamie msingi wake wa kutoingiliwa na mtu au taasisi yoyote katika utekelezaji wa shughuli zake.