Msajili wa vyama vya siasa kuleta machafuko kama ya Oktoba 29 !

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Asema atakifutilia mbali CHADEMA kama kisipofanya shughuli zake za Siasa inavyotakiwa. Hapa nafikiri ndugu Msajili alimaanisha CHADEMA wamsifu Madame Presider ikiwezekana wampe na Tuzo ya Rais aliefanya Siasa bora Tanzania.

Sisi wananchi yetu macho, mkitunyima haki tunaitafuta kwa nguvu
 
Ni wajinga sana kuaminishwa kuwa yaliyotokea October 29, hayataweza kutokea tena. Machafuko yatakayokuja yatakuwa more deadly. Uzoefu tulioupata october 29 ni mkubwa sana. Ngoja waendelee kutupandisha mzuka tu
 
Kwa jinsi walivyochanganyikiwa hawashindwi kufanya lolote bila kutafakari madhara ya mbeleni
 
Mtungi kiasili maana yake ni sifuri. Unatarajia kupata nini kutoka kwenye sifuri?
 
Asema atakifutilia mbali CHADEMA kama kisipofanya shughuli zake za Siasa inavyotakiwa. Hapa nafikiri ndugu Msajili alimaanisha CHADEMA wamsifu Madame Presider ikiwezekana wampe na Tuzo ya Rais aliefanya Siasa bora Tanzania.

Sisi wananchi yetu macho, mkitunyima haki tunaitafuta kwa nguvu
Awamu iliyopita ya machafuko ilipaliliwa na walinda ccm,wakuu wa mhimili wa kuisimamia mhimili uliojichimbia zaidi kwa msaada mkubwa wa mzee wa galilaya enzi zake kwa usaidizi mkubwa wa msaidizi wake ambaye hatimaye alipindua meza na kuwa mkuu wa mhimili akahitimisha kazi waliyoianza na bosi wake kutufikisjlha oct 29,2025,hivyo sasa Mtungi wa maji na siti ya mwanzo wamepewa kijiti,sijui hao wana tupeleka oct.ijayo ama wapi yetu macho na masikio,je usaidizi wa policcm nao utakuwepo kama kawaida ama ngoma itachezwa na Mtungu water na siti ya mwanzo pekee! Mimi sijui labda Yule wa kwa maslahi ya taifa naye atoe utabiri wake!
 
Back
Top Bottom