Msajili wa vyama vya siasa kwanini CCM hawakufata katiba ya chama chao kumpitisha mgombea Urais?

Msajili wa vyama vya siasa kwanini CCM hawakufata katiba ya chama chao kumpitisha mgombea Urais?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
NB. JK ameonekana rasimi ni adui wa Demokrasia nchini, aliamia kuchukua mamlaka ya kujimilikisha uenyekiti wa kikao na kutoa pendekezo la udikteta kwa kulazimisha kupitishwa majina ya wagombea Urais bila kufuata utaratibu wa chama.

Hii maana yake ni kuwa chama kimekiuka miongozo ya katiba ya chama na Sheria ya vyama vya siasa inayovitaka vyama vya siasa kufaata katiba zao.

Kwa maana hiyo ni wazi CCM wanahitaji kuja hadharani kutoa ushuhuda na maelezo ya kina ni kwanini wanavunja katiba yao, lakini pia msajili wa vyama vya siasa anapaswa kutoka hadharani na kukaripia kitendo hiki.
 
Back
Top Bottom