Mikutano iliyosheheni kauli mbaya za kuashiria ile nia ya liwalo naliwe ,imeonekana pale Chama hiki kibaya sana kilipowakusanya wananchi mashee na mapasta na makasisi kibao ,ili kuwarubuni wananchi wawaunge mkono.
Tuseme walikuwa na jambo lao ambalo mwenyezi Mungu ameliweka wazi kuwanusuru waTanzania.
Jamani Tanzania si nchi ya kufanya mapinduzi ,mjue kuwa hata bustani ya Aden ipo hapa Tanzania,inajulikana kienyeji kama ngorongoro crater.
Shida ziki ila Bwana Mungu yupo nasi na ataendelea kutulinda na hawa walioshindwa na uvumilivu na kutafuta njia za mkato. Chadema mshinwe na mlegee.
Chama kilikuwa tunakipenda na kinaenda vizuri tu ,sijui ni shetani gani amewaingia na viongozi kukubali kurubuniwa, kupanga njama mbaya, na viongozi waliozuka baaada ya ruhusa ya mikutano ndio inaonekana wanakuja na kauli hatarishi.
Au sijui huko kuishi ughaibuni wameona ndio weshakuwa na nguvu za kuushawishi umma kuunga mkono fikra zao potofu.
Chadema kama mnahitaji kurudi kwenye anga za siasa ,waepukeni viongozi wasio na weledi wa kuzungumza, sasa mmeona chama kimechafuliwa ,wametumia majukwaa yenu kutaka kuwalisha WaTanzania matango pori.
Mbona hii nchi ilikuwa ushindi kupitia kura 2025 ni wachedema ,wamekujha hawa kina silaa na lisu na mwakibusi na nyagali wamevuruga kila kitu.
Achaneni na mikataba hayo ni yao CCM na serikali yao ,mbona ingekuwa silaha nzuri wakati wa kampeni ila ndio mshaharibiwa.
Kuna watu inabidi muwaepuke hata kama wapo na uzoefu ,huenda ikawa wanatumika bila ya nyinyi kujuwa.
Silaa,Lisu na mwakibuse ninawasiwasi nao wapo humo chadema kuwaharibia.