Msajili wa vyama vya siasa simamia sheria bila uoga

Kule hawafanyi uchaguzi, mwenyekiti anapatikana by default. Ukiwa rais tayari ni mwenyekiti.
Kama hakuna uchaguzi wa mwenyekiti kwenye katiba yao msajiri anatakiwa atupe ufafanuzi, hapa ndipo panaonesha kasoro za Msajiri.
 
Genge la wachawi na walonzi kazini
 
Any body home?
 
Acha kupotosha umma wewe, Mbowe kachukua fomu mwenyewe, kuchukuliwa fomu maana yake ni mpaka saini ndani ya fomu yenyewe iwe si ya kwako.

Walichokifanya wale vijana ni kumletea mgombea wao aipokee badala ya kuifuata ofisini na kisha yeye kaichukulia kwao na kuijaza kisha kuisaini.

Ukikutana na ile fomu hakuna sehemu inayoonesha kuwa imechukuliwa na mtu mwingine zaidi ya Mbowe mwenyewe.
 
Hajawahi kutokea wao wasitoe rais, hivyo ILANI yao inaweza ikawa imesema itafute.

Lakini iko hivyo kwao by default rais ndiye mwenyekiti.
Eleza mchakato wa kumpata rais
1995_Mkapa vs Jk
2005_Jk vs Salim vs lowasa
2015_Lowasa vs Membe vs Magufuli
 
Nataka mtu anipatie mchakato wa kuchagua Mwenyekiti wa CCM kuanzia hatua ya uchukuaji wa form hadi mshindi kutangazwa.
 
Jamani Demokrasia yetu CCM sio yenu CDM..hivyo basi Ni vyema Msajili aingalie CHADEMA sababu sisi tumesema Ivo..kila Chama na Demokrasia take..πŸ˜„πŸ˜›πŸ˜›
 
Hukumsikia mwenyekiti wako mgonjwa wa akili akimtaka mtu agombee jumbo la ubungo?
Mkumbushe na lile jimbo la Tandahimba kapewa yule aliyekuwa mkata mauno wa domo. Hilo halioni kabisaaaaaa. Amakweli Kunya anye kuku, Bata hapanaaaaa!!!
 
Acha kuweweseka,mwambie msajili hii tabia ya ccm kutochagua mwenyekiti wa taifa haifai.Maana kila anayeshinda urais anakuwa mwenyekiti.Sasa watakaposhindwa sijuwi itakuwaje.
 
Hukuona na kuskia mwenyekiti wako akimuagiza Harmonize akagombee ubunge kuleeeee? Pumbavu kabisa
 
Huu utakuwa ugonjwa wa kuweweseka akili ,si buree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…