Msakila Kabende:- NAWEZA kuwa msuluhishi kati ya Serikali, Vyama vya Siasa na taasisi za kimataifa?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Watanzania;
Salaàm!

1. Nilifuatilia hotuba za viongozi wa CHADEMA katika msiba na maombolezo ya Kibao kule Tanga - nikiona ipo changamoto kati ya taasisi hiyo na Serikali yetu pendwa;

2. Niliona taarifa ya Balozi za US, UK, Canada nk kuhusu malalamiko yanayohusu ustawi wa kijamii nchini; kisha

3. Nimeona hotuba ya Rais wetu kipenzi kuhusu njama za baadhi ya vyama vya siasa kutaka kuleta vurugu za kimatabaka hapa nchini. SASA;
Nashauri:-

* Naomba kujua njia ipi sahihi ya kukutanisha wadau wote watatu (Serikali, Vyama na Ubalozi) ili kuwaweka sawa kupitia mazungumzo. Ifahamike kuwa kama taifa ni vizuri kupata maridhiano kwa njia hizi za mazungumzo ya mezani ili kuwa utengamano wa kitaifa kuliko huu mwendelezo wa kila upande kushutumu upande mwingine.

* Naomba kujua wadau wengine muhimu niwezao kushiriki nao ktk upatanisho. BIBLIA IMEANDIKWA KUWA HERI MPATANISHI. Nami niko tayari kuvaa viatu vya MPATANISHI.
God bless you all.

Kabende Msakila
Kigoma - Tanzania
 
Umekunywa chai leo?
 
Back
Top Bottom