Mashaka yote mawili niliyo kuwa nayo kukuhusu umeyathibitisha.Sawa nichukulie chizi au mtoto lakini mimi naandika facts wewe unaropokwa,kwa hiyo na wewe kwa hoja hizi ndiyo umetumia akili zako 100%!!!
Unamchukulia yahya sinwar kama mfano wa hamas waliouawa hujui akilini mwako kama alikuwa anasakwa kwa udi na uvumba na kila zana vita za Mzayuni drones zikiwa included so ilikuwa lazima ajifiche sana wewe kwa akili zako nyingi unazojiona unazo ulitaka ajipendekeze sokoni na hospitalini wamtungue kiwepesi?unadhani kufa ni rahisi kiasi sinwar asiogope?
And vice versa?Mashaka yote mawili niliyo kuwa nayo kukuhusu umeyathibitisha.
Kwaheri. kuwa mwepesi kujifunza, kuwa mwepesi kufikiri vyema kabla kuongea au kuandika
Mkuu watoto humu ndani wapo wengi sana, sababu unaweza kuta unajadiliana na kubwa zima kumbe akili kijiko.Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza
Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Siwezi kukupinga maana imekuwa rahisi kumiliki smartphones kwa sasa tofauti na miaka ya nyuma kidogo.Mkuu watoto humu ndani wapo wengi sana, sababu unaweza kuta unajadiliana na kubwa zima kumbe akili kijiko.
Reliability ndo siri kubwa za toyota, hizo double cab zinapendwa pia kwa sababu ni four wheels drive, mchanga wa jangwani zinapita tuHivi nini siri ya magaidi kuzipenda hizi pickup doublr cabin?
Maana hata Al qaeda na Osama ndio zilikuwa gari zao pendwa.
Anza kutoa huo ushauri kuanzia Tanga, Zanzibar na Mombasa.Basi muwashauri wakimaliza vita waache ushoga
Na tatizo ni jinsi wanavyoquote yaani sio kwa lengo la kujadiliana kwa kujenga hoja zenye mantiki kichwani bali ni zenye utoto na upuuzi mwingi.Siwezi kukupinga maana imekuwa rahisi kumiliki smartphones kwa sasa tofauti na miaka ya nyuma kidogo.
Haah umenikumbusha Toyota war Libya walipigwa vibaya na ChadView attachment 3281961
Hapo mwendo mwendo...wakichoka kuna ile machine gun kubwaaaπππlinapachikwa hapo juu...wahuni wanaweka mpaka zile ballsck mssl ndogoπππ
Kwa hii point najiuliza sana inakuaje mashoga wawe na nguvu kuliko wasio mashoga?Basi muwashauri wakimaliza vita waache ushoga
Uko serious? Au unaota ndoto za mchana? Unaongea kama huna kichwa!! Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 waliteka Mateka 251 mpaka sasa hivi wamebaki mateka 59 hilo hulioni kwa kuwa akili yako ni Kiduchu. Oct 07,2023 Gaza ilikuwa inaendelea sana sasa hivi UKF-ie da huko unakumbana na Vifusi tu hilo wewe hulioni!! Oct 07,2023 Hamas walikuwa na viongozi wao wote akiwemo Yahya Sinwar sasa hivi viongozi walio hai ni 7 tu kwenye Cabinet nzima ya Hamas wengine wote sasa hivi walishakabidhiwa Mabikira 72 wewe hayo huyajui!!! Kabla ya Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walikuwa na uwezo wa kurusha makombola zaidi ya 500 mpaka 1000 kwa siku sasa hivi si tishio tena kwa Israel na magaidi hao bado wanakandwa vizuri wewe hilo hulioni!!! Zoezi la kuiondoa Hamas linaelekea mwishoni wewe kwa ujinga wako huoni hilo!!?Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.
Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.
Vita vya kijinga.
Halafu kweli, hata kwenye movie huo ndio usafiri pendwaHivi nini siri ya magaidi kuzipenda hizi pickup doublr cabin?
Maana hata Al qaeda na Osama ndio zilikuwa gari zao pendwa.
Hiyo picha uliyoweka katika account ni yako ?Uko serious? Au unaota ndoto za mchana? Unaongea kama huna kichwa!! Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 waliteka Mateka 251 mpaka sasa hivi wamebaki mateka 59 hilo hulioni kwa kuwa akili yako ni Kiduchu. Oct 07,2023 Gaza ilikuwa inaendelea sana sasa hivi UKF-ie da huko unakumbana na Vifusi tu hilo wewe hulioni!! Oct 07,2023 Hamas walikuwa na viongozi wao wote akiwemo Yahya Sinwar sasa hivi viongozi walio hai ni 7 tu kwenye Cabinet nzima ya Hamas wengine wote sasa hivi walishakabidhiwa Mabikira 72 wewe hayo huyajui!!! Kabla ya Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walikuwa na uwezo wa kurusha makombola zaidi ya 500 mpaka 1000 kwa siku sasa hivi si tishio tena kwa Israel na magaidi hao bado wanakandwa vizuri wewe hilo hulioni!!! Zoezi la kuiondoa Hamas linaelekea mwishoni wewe kwa ujinga wako huoni hilo!!?
Hamas ni Magaidi na hawawezi kuishinda vita hii walipaswa wanzoni mwa Oct 08,2023 maana walikuwa wanasaidiwa na Magaidi wenzao walioko West-Bank,Syria,Iraq,Hezbollah,Houthi na Bwana wao Iran!! Sasa hivi wote hao wameshindwa na wengine kama Hezbollah wao wanachechemea tu hawana uwezo kukabiliana tena na majeshi hodari ya Israel.
Inatembea zaidi ya cruiser inapita popote ina kupa ofa ya kubeba mizigo na watuHivi nini siri ya magaidi kuzipenda hizi pickup doublr cabin?
Maana hata Al qaeda na Osama ndio zilikuwa gari zao pendwa.
Kama unaweza kudispute fact kuwa Hamas wanapigana kati kati ya raia basi umepoteza credit kwangu, mazima. This is a known fact. Earlier on wakati vita inaanza tumeona videos wana Gaza wakiondoka makwao following warning za vipeperushi zinazotupwa na ndege za Israel, halafu Hamas wanawazuia raia wao wasiondoke wametia vizuizi barabarani watu wanalazimika kukimbia kwa miguu? Are you really ignoring this fact? Na wanakofichia vifaa vya Kavita na kurushia makombora yao huko mahospitalini, shuleni na makazi ya watu? Intelijensia ya Israel inayagundua humo with evidence dunia inajionea live!Yahya Al-Sinwar aliuawa katikati ya raia wangapi ?
We baki hivyo hivyo wenzio wameshayafikia na kuzidi sasaivi wanasafisha tu mazingira yakae safi ili wasiwakere majirani.Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.
Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.
Vita vya kijinga.
Thank you dearKama unaweza kudispute fact kuwa Hamas wanapigana kati kati ya raia basi umepoteza credit kwangu, mazima. This is a known fact. Earlier on wakati vita inaanza tumeona videos wana Gaza wakiondoka makwao following warning za vipeperushi zinazotupwa na ndege za Israel, halafu Hamas wanawazuia raia wao wasiondoke wametia vizuizi barabarani watu wanalazimika kukimbia kwa miguu? Are you really ignoring this fact? Na wanakofichia vifaa vya Kavita na kurushia makombora yao huko mahospitalini, shuleni na makazi ya watu? Intelijensia ya Israel inayagundua humo with evidence dunia inajionea live!
Na kama haitoshi wamewatia wanaume wenzao ulemavu kisa tu baba anapigania kwenye foleni kupata chakula cha msaada unaotolewa na nchi mbalimbali kwa ajili ya familia yake, wanawashoot miguu ili tu wanyang'anye chakula wakiuze kwa faida? Hamas militants na uongozi wao wote are not even humans, they are animals with no souls.
Yahya kama alikuwa mwanaume kweli asingeingia kwenye handaki siku vijana wake wanavamia kibbutz ile October 7. Hujaiona video? Itafute, ni CCTV yao wenyewe Hamas ina time stamp! Na aliendelea kuishi kama panya hadi umauti wake. Kweli kosa vyote ila usikose Roho Mtakatifu.
As a Christian I hate wars, tumeambiwa tusamehe 7Γ70 na pia tuwapende adui zetu, but Biblia hiyohiyo inaniambia ile vita hata siyo ya kuisha leo. Israel walikosea maelekezo wakati wanaifikia nchi ya ahadi ambayo ilikuwa ni ardhi ya babu zao anyway. Ni mpaka Yesu arudi mara ya pili ndo ataimaliza ile vita, and the worst is yet to come, kwa Israel na hata kwa Wakristo kote duniani. It is scary but very real.
ππKama unaweza kudispute fact kuwa Hamas wanapigana kati kati ya raia basi umepoteza credit kwangu, mazima. This is a known fact. Earlier on wakati vita inaanza tumeona videos wana Gaza wakiondoka makwao following warning za vipeperushi zinazotupwa na ndege za Israel, halafu Hamas wanawazuia raia wao wasiondoke wametia vizuizi barabarani watu wanalazimika kukimbia kwa miguu? Are you really ignoring this fact? Na wanakofichia vifaa vya Kavita na kurushia makombora yao huko mahospitalini, shuleni na makazi ya watu? Intelijensia ya Israel inayagundua humo with evidence dunia inajionea live!
Na kama haitoshi wamewatia wanaume wenzao ulemavu kisa tu baba anapigania kwenye foleni kupata chakula cha msaada unaotolewa na nchi mbalimbali kwa ajili ya familia yake, wanawashoot miguu ili tu wanyang'anye chakula wakiuze kwa faida? Hamas militants na uongozi wao wote are not even humans, they are animals with no souls.
Yahya kama alikuwa mwanaume kweli asingeingia kwenye handaki siku vijana wake wanavamia kibbutz ile October 7. Hujaiona video? Itafute, ni CCTV yao wenyewe Hamas ina time stamp! Na aliendelea kuishi kama panya hadi umauti wake. Kweli kosa vyote ila usikose Roho Mtakatifu.
As a Christian I hate wars, tumeambiwa tusamehe 7Γ70 na pia tuwapende adui zetu, but Biblia hiyohiyo inaniambia ile vita hata siyo ya kuisha leo. Israel walikosea maelekezo wakati wanaifikia nchi ya ahadi ambayo ilikuwa ni ardhi ya babu zao anyway. Ni mpaka Yesu arudi mara ya pili ndo ataimaliza ile vita, and the worst is yet to come, kwa Israel na hata kwa Wakristo kote duniani. It is scary but very real.
Asante kwa uchambuzi uliotukuka ππUko serious? Au unaota ndoto za mchana? Unaongea kama huna kichwa!! Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 waliteka Mateka 251 mpaka sasa hivi wamebaki mateka 59 hilo hulioni kwa kuwa akili yako ni Kiduchu. Oct 07,2023 Gaza ilikuwa inaendelea sana sasa hivi UKF-ie da huko unakumbana na Vifusi tu hilo wewe hulioni!! Oct 07,2023 Hamas walikuwa na viongozi wao wote akiwemo Yahya Sinwar sasa hivi viongozi walio hai ni 7 tu kwenye Cabinet nzima ya Hamas wengine wote sasa hivi walishakabidhiwa Mabikira 72 wewe hayo huyajui!!! Kabla ya Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walikuwa na uwezo wa kurusha makombola zaidi ya 500 mpaka 1000 kwa siku sasa hivi si tishio tena kwa Israel na magaidi hao bado wanakandwa vizuri wewe hilo hulioni!!! Zoezi la kuiondoa Hamas linaelekea mwishoni wewe kwa ujinga wako huoni hilo!!?