Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

Unahakika?
 
je unaweza ukatuambia israel alikuwa na malengo gani hapo gaza na hajayatimiza? Chuki zako dhidi ya marekani na ka nchi ka china znakufanya uwe kpofu hata usione kwmb israel anaitwaa gaza, israel ametwaa ardhi syria, israel amefyeka viongoz karibia wote wa hamas, hezbollah,nk. Kwa akili yako ndogo ka nchi ka china kanaweza pgana vita na watu wanaojfcha kwny mahandka au kuvaa kiraia na kujchanganya nao kama una akili timamu unawezaje kabiliana nao kirahisi ni kwmb hapo watafutwa hao shoga zako hamas na ndo umekuwa mwsho wao ngoja raia waondolewe hapo papgwe carpet bombs. Kama kuna hamas wachina ndo hamtawaona tena.
 
dunia haiwaonei huruma tena. ukiilllaani Israel tuu ujue bidhaa zako zinawekewa kodi kali ya export. hivyo ndo maana EU wako kimyaaa! EU ndio chanzo cha hamas kudinda la sivyo sasa hivi hawana muokozi labda uturuki tuu.
 
hamas ni wajinga sana. wasingeendelea kudinda wakati huu marekani walipo badili uongozi mpya. wao wangeyamaliza ili wagange njaa na kujenga masoko mjinga wakauze madafu. watoto hawajasoma mwaka mzima hamas hawajali kabsaaa sijui wanalilia nini hawa mabwege.
 
Wewe ndie unaweza ukawa ndie mjinga sana.
 
Sihitaji credits zako.

Na ubaya umeandika ujinga na katika ujinga wako umesindikizia na imani yako hakuna mahali nimeongelea imani ya mtu au nimeihitaji imani ya mtu au hata kutaja imani yangu hii inaonesha jinsi ulivyo mjinga juu ya huu mgogoro.

Unaandika ujinga unaushikiza na imani yako.

Msimamo wangu na mashaka yangu juu ya nyie vijana bado ule ule kwa sababu mnazidi kuandika ujinga kadiri unavyo jaribu kufungua vichwa vyenu na midomo yenu na kutoa yale yaliyo vichwani mwenu.

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
 
Kwa hiyo we unaona Gaza ya 2023 ni sawa na Gaza ya leo?
 
Kwa ufupi, Iran, Hamas, Hezbollah, Asad, Houthis wamepoteza mengi kuliko faida.
 
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Hamas waoga sana. Wanashinda kwenye mashimo na kujificha humo, wanajizingira na wanawake na watoto, wanajificha hospitalini na shuleni ili wakishambuliwa waseme Mayahudi wanapiga hospital na kuua raia. Mayahudi kwa sasa hawajali wanapiga na kuua popote walipo hamas.
 
Shida mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa.Wahashindi kurusha bomu moja kusambaratisha gaza yote.
Ili kuepuka lawama na mashirika ya kibinadamu inabidi kuwe hivyo.
Unakumbuka walichofanyiwa japani
 
Kuua sisimizi wote bila kujali athari
Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )

Kwaheri.

Jf sio ile tena imebadilika kwakweli kizazi kipya hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…