Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
sawa kumbe hata pickup zile zilioharibika ziko vitani sio 😄 🤣Magari aina ya Toyota Pick-Up ya Red-cross yaliyotolewa kwa ajili ya zoezi la ubadirishanaji Mateka na baada Magaidi wa Hamas kuyang’ang’ania na kuanza kuyatumia kwenye shughuli za kigaidi leo Jeshi la anga la Israel limeyaangamiza 20 na mengine bado yanasakwa popote yalipo huko Gaza!!
Kwa hio ma pilot pia walipue mabus sababu kuna badhi ya mabus yanatumiwa na magaidi 🤣Zinapotumika kigaidi moja kwa moja zitakuwa vitani hivyo lazima zilipuliwe!!
Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.Ndivyo ilivyo hakuna kulemba magaidi!! Safari hii Hamas mpaka wanyooshwe tu
Sasa mbona unalia mzee 🤣🤣🤣🤣Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.
Wagaza wamechoka, wameanza kuandamana, itakuwa rahisi sana kuwafichua walipo kwenye mashimoHuyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.
Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.
Vita vya kijinga.
Ni gari za KAZI ngumu off-road pia ubeba watu wengiHivi nini siri ya magaidi kuzipenda hizi pickup doublr cabin?
Maana hata Al qaeda na Osama ndio zilikuwa gari zao pendwa.
Wawafichue kwa nani ?Wagaza wamechoka, wameanza kuandamana, itakuwa rahisi sana kuwafichua walipo kwenye mashimo
Hiyo ni gari siyo tu ya gaidi bali hata muasi huitumia. Hapo inshu siyo kampuni iliyotengeneza hapo what matters ni multipurpose ya hiyo gari. Unaweza ukaitumia kama attack vehicle ni sekunde tu una mount guns hapo ktk body inakuwa attack vehicle. Pia, unakuta ni double cabin inaingiza watu zaidi ya kumi na bado Ina pick up kwa nyuma hapo. Inshort hiyo ni gari ya kazi, iwe porini vitani, shamba au mgodiniHivi nini siri ya magaidi kuzipenda hizi pickup doublr cabin?
Maana hata Al qaeda na Osama ndio zilikuwa gari zao pendwa.
Ushuzi mtupu umeandika hapa nguruwe mkubwa wewe!!Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.
Mimi nilie labda kwa ajili ya ujinga wakoSasa mbona unalia mzee 🤣🤣🤣🤣
jasiri anajificha kweny maandakai akiwaacha raia wapigwe mabomu ?Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza
Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Sasa mbona machozi yanakububujika 🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nilie labda kwa ajili ya ujinga wako
Kwahiyo Wapalestina wote ni waislamu?Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.
Jasiri hawezi kujificha hospitalini au kuvaa baibui kujifanya mwanamke, au kuzama mahandakini au kuvaa badge za UN au za waandishi wa habariKama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza
Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Alikufa akiwa amezingirwa na panya na maweNakuuliza swali moja tu jibu lako litahitimisha kama nitaendelea kujadiliana na wewe au endelea kujadiliana na machizi wenzio.
Yahya Al-Sinwar kupitia maelezo yako alikufa akiwa amezingirwa na wanawake,watoto wangapi ?