Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi...

Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta?

Meseji?
Xvideo?
Picha?
Namba za simu?
Social networks?
Betting apps?
Au missed calls na received calls
Hivi kuna watu bado wanaangalia porn?
 
Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi...

Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta?

Meseji?
Xvideo?
Picha?
Namba za simu?
Social networks?
Betting apps?
Au missed calls na received calls
Sina chochote Cha Kufuta ..... Hakika. Akague tuu anayetaka kukagua chochote humo ndani.
 
Mara pap imetokea msako au ukaguzi tu wa kushtukiza katika simu yako..na ukapata sekunde chache kabla hujapokonywa simu yako kwa ajili ya huo ukaguzi...

Ili kulinda status yako/siri zako utafuta vitu gani kwa fasta fasta?

Meseji?
Xvideo?
Picha?
Namba za simu?
Social networks?
Betting apps?
Au missed calls na received calls
Best possible place to keep your sh#t ni kichwani mwako! Not on paper of digital platforms/storage.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unataka kuniambia simu yako haina privacy yeyote??
Simu haina privacy hata kidogo... Always kunauwezekano wa watu kupata taarifa zako... Na kwa technologia ya leo..hujui nani anakuchingulia with apps doiny it for the third part...

Store your most important things kichwani.. unaweza ukaweka mambo mengi kwenye simu halafu ukadondosha na heshima yako ikaishia hapo... Maana atakaye okota hujui atatumiaje taarifa hizo...

Hakikisha ukishasoma ujumbe sensitive futa.. na ikibidi mpigane simu muonane mpeane taarifa nyeti... Usipokee taarifa nyeti over the phone..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unataka kuniambia simu yako haina privacy yeyote??
Sina passcode wala pattern wala nn

Unakuta mtu ame-encrypt simu level tatu.. anaanguka barabarani wanaomukota wanataka kumpigia mtu wa jirani (next of kin) hawawezi maana simu haifunguki..

Unaweza kukuta watu wako wangetoa maelekezo kwa tatizo la kudumu ..ukapata msaada wa kwanza... Au hata nduguzo kuweza kufika hospitali kwa ishu ya dharura kama ajali.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom