Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

Simu haina privacy hata kidogo... Always kunauwezekano wa watu kupata taarifa zako... Na kwa technologia ya leo..hujui nani anakuchingulia with apps doiny it for the third part...

Store your most important things kichwani.. unaweza ukaweka mambo mengi kwenye simu halafu ukadondosha na heshima yako ikaishia hapo... Maana atakaye okota hujui atatumiaje taarifa hizo...

Hakikisha ukishasoma ujumbe sensitive futa.. na ikibidi mpigane simu muonane mpeane taarifa nyeti... Usipokee taarifa nyeti over the phone..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa hapo unapokea tu ujumbe na msako ndo unaanza
 
Sina passcode wala pattern wala nn

Unakuta mtu ame-encrypt simu level tatu.. anaanguka barabarani wanaomukota wanataka kumpigia mtu wa jirani (next of kin) hawawezi maana simu haifunguki..

Unaweza kukuta watu wako wangetoa maelekezo kwa tatizo la kudumu ..ukapata msaada wa kwanza... Au hata nduguzo kuweza kufika hospitali kwa ishu ya dharura kama ajali.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa kesi ya hiyo ,kuna vitambuilisho mbalimbali vyeny jina na picha watu wanatembea navyo..
 
Kwani simu zenu hazina option ya ku hide apps,calls,sms,galary na vitu vyengine? Yangu utatafuta simu nzima huoni kitu mzee kwani hata namna ya kuifanya hiyo app hiden ifunguke sio kitu rahisi
 
Back
Top Bottom