Msako/ukaguzi wa ghafla kufanyika kwenye simu yako. Cha kwanza kufuta ni nini

Sasa hapo unapokea tu ujumbe na msako ndo unaanza
 
Kwa kesi ya hiyo ,kuna vitambuilisho mbalimbali vyeny jina na picha watu wanatembea navyo..
 
Kwani simu zenu hazina option ya ku hide apps,calls,sms,galary na vitu vyengine? Yangu utatafuta simu nzima huoni kitu mzee kwani hata namna ya kuifanya hiyo app hiden ifunguke sio kitu rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…