Msalaba wa hili kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) unamaanisha nini?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
20241117_061423.jpg

20241117_061856.jpg
 
Kwa kifupi misalaba mingi tunayoiona si msalaba aliyotesewa Yesu Kristo na kutundikwa pale Golgotha. Hiyo ni misalaba ya kimasoniki, ina maumbo ya ajabu, angalieni hata ile ya makaburini maumbo yake. Ni misalaba ya vyama vya siri (secret society)
 
Unasema ni Vyama Vya Siri Lakini Unavifahamu Kuwa Ni Vyama Vya Siri Na Wanayoyafanya,,Sasa Hiyo siri Iko Wapi??
 
Huu msalaba wa kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa(AIPCA) una maana gani?
Ukristo una diversity kubwa sana ya imani tofauti!
Msalaba sahihi aliosulubiwa nao Yesu Kristo ni upi?
View attachment 3154168
View attachment 3154169
makanisa ya kihuni with self proclaimed Bishops! Makanisa ya 'wajanja" kuwaibia malofa weusi
 
AFRICA INDEPENDENT PETECOSTAL CHURCH OF AFRICA-AIPA ndio nalisoma leo, sijui kama kuna kanisa hili afrika. Limesajiliwa nchi gani? Ndio kusema upentekoste umekua kiasi cha kuwa na makanisa mengi au ni abrakadabra tu? Tulishazoea akina FPCT, TAG, EAGT, KLPT, PEFA, PAG, hii AIPCA ni ngeni na msalaba wake unashangaza
 
Kanisa la mashetani,majini,wanga,wachawi na vigagula sugu walioshindikana. Ikifika usiku wanaung'oa huo msalaba padri na waumini wanapanda wanaruka angani wanaweza kwenda marekani kwa trump gaza yahya sinwar bila viza.
 
Unasema ni Vyama Vya Siri Lakini Unavifahamu Kuwa Ni Vyama Vya Siri Na Wanayoyafanya,,Sasa Hiyo Iko Wapi??
kasome kitabu kinaitwa broken cross na the lost key ufahamu aina za misalaba na wanayoitumia ni akina nani
 
Back
Top Bottom