Msama: Waliomchafua Ridhiwani kipindi cha Kikwete leo wanamchafua Abdul mtoto rais Samia

Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la kuvuruga amani ya nchi.
Those are two different scenarios, abdul story ni tofauti kabisa
 
IMG_7967.jpeg
 
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la kuvuruga amani ya nchi.
Kwa hiyo unaona ni uongo yana ongekewa?
 
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la kuvuruga amani ya nchi.
Ukiwa na njaa ya tumba, akili yote inahamia tumboni. Hakuna mtu mjinga kama huyo Msama. Kama Abdul anateka watu tusiseme? Kama Ridhiwan anaiba pesa kwa kushirikiana na baba yake.....Tusiseme. Mbwa wewe Msama unayehongwa ili kuonyesha upumbavu wako. Fala wewe.
 
Hii tabia ya kujipendekeza imeota mizizi na huko mbele tutashindwa kuikabili
 
Huyu makengeza kesi zake za utapeli wa viwanja alishazisolve?
 
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la kuvuruga amani ya nchi.
Hakuna kibali kwa mtu aliye kula blueband 90centyuli

Jani la muembe kwa bakuli la uji watasikilizwa
 
Moderators naomba muachie Uzi wangu wa "namna ya kutambua madini na bei zake
 
Huyu makengeza na tapeli wa viwanja vya watu anajaribu kujificha kwenye kichaka cha uchawa.
 
Kwamba watanzania hawajui cha kupuuza mpaka waambiwe tena na watu aina ya Msama!!
 
Msama ni tapeli ambae alitakiwa kua jela ni vile yuko Tanzania Msama alitakiwa kua jela
 
Unawaongelea wana wazazi wao wote wapo hai Msama usijipe majukumu yasiyo yako!
 
Back
Top Bottom