Hivi wabunge wakiamua ku Baki na Spika wao, vipi?! Wakiamua kumuunga mkono. Mama atalala kweli?!Avunje bunge? Kwani urais hautaki? Mbona ataishia kakipindi alichokwisha tawala?
Risk hiyo hawezi kuichukua.
Make bunge likivunjwa tu! Vurugu halafu ya Sudani hayo.
Watu wa usalama fanyeni majukumu yenu. Sisi tunataka nchi salama.