white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Mimi mkulima mdogo mdogo yatanikuta yapi, kwani sera za kilimo ni za tangu uhuru , tumeshazoea tu!kwani leo dunia nzima wanamsema vibaya hitra, ni kuwa wote waliguswa moja kwq moja?tunashukuru leo hii hata kama maisha bado ni yale yale lakini amani kiasi fulani ipo mioyoni mwa watu!!daaa ila tuliingia MTUMBWI WA VIBWENGO, Mungu akaona msipate tabu sana wanangu, naenda kuchomoa fuse tu!!tena huyu hakuna cha shoti wala nini, anaweza kupona ni kulipua kabisa!!MUNGU FUNDIaisifie mvua imemnyea kuna jambo hutaki kuliweka wazi, hebu tema nyongo roho isuzike. ila pole in advance inaonekana kuna mengi yamekukuta. 😛
😛😛😛