Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono

aisifie mvua imemnyea kuna jambo hutaki kuliweka wazi, hebu tema nyongo roho isuzike. ila pole in advance inaonekana kuna mengi yamekukuta. 😛
😛😛😛
Mimi mkulima mdogo mdogo yatanikuta yapi, kwani sera za kilimo ni za tangu uhuru , tumeshazoea tu!kwani leo dunia nzima wanamsema vibaya hitra, ni kuwa wote waliguswa moja kwq moja?tunashukuru leo hii hata kama maisha bado ni yale yale lakini amani kiasi fulani ipo mioyoni mwa watu!!daaa ila tuliingia MTUMBWI WA VIBWENGO, Mungu akaona msipate tabu sana wanangu, naenda kuchomoa fuse tu!!tena huyu hakuna cha shoti wala nini, anaweza kupona ni kulipua kabisa!!MUNGU FUNDI
 
Ujinga in advance 🤣🤣🤣🤣
 
Ujinga in advance 🤣🤣🤣🤣
All in all mungu atukuzwe kwa kuliondoa shetani lile!!, na jinsi anavyotisha shetani jingine sasa hivi linaadhirika, kwani mdomo umeponza kichwa!!ila Mungu anatishaa, ubabe aliokuwa nao jamaa sasa hivi ni anakutana na hali hii kweli??kutoka cheo cha field Marshall, hadi kuwa mgambo wa soko!!!
 
Back
Top Bottom