Hivi wabunge wakiamua ku Baki na Spika wao, vipi?! Wakiamua kumuunga mkono. Mama atalala kweli?!Avunje bunge? Kwani urais hautaki? Mbona ataishia kakipindi alichokwisha tawala?
Risk hiyo hawezi kuichukua.
Tatizo brazaj unasahau mapema sana.
CCM lao moja huo NI mpango wao.wanafanya wanagombana ili wawatoe mchezoni
NANI ANAMKUMBUKA MBOWE MAHABUSU?
Free mbowe imeishia wapi?
Kuondoka Kwa waliolivuruga taifa, sii kwa maneno yake ya hivi karibuni, ila kwa mipango na mikakati ya makusudi, ama kwa kujua au kutokujua au kwa uwezo wa kutekeleza jukumu lake la msingi Kwa nafasi aliyoitumikia/anayoitumikia ni fursa na nafasi Kwa mtu mwenye weledi kutekeleza majukumu yake kwa manufaa ya taifa na manufaa ya watanzania, tukiiona ni fursa ya kisiasa, sidhani kama ni sahihi, ila yafaa tulione hili kama fursa kwa maslahi mapana kwa taifa, na mwanzo wakurekebisha dosari zinazolikwamisha taifa.
Hivi wabunge wakiamua ku Baki na Spika wao, vipi?! Wakiamua kumuunga mkono. Mama atalala kweli?!
Make bunge likivunjwa tu! Vurugu halafu ya Sudani hayo.
Watu wa usalama fanyeni majukumu yenu. Sisi tunataka nchi salama.
Ukishikwa shikamana. Vyama vya harakati vinapaswa kuziona "lose balls" hizi na kuzifanyia kazi.
Hii nchi si ya mtu mmoja.
wafuasi wa chadema wakiongozwa na mzee Mbatia wamepoteza mwelekeo kabisaa...yaani wanachezeshwa ngoma bila kujua wimbo
Tuwe na mustakabala wa kueleweka na uhuru kamili wa mihimili.
Hoja hazipaswi kupigwa marungu.
Kuliko kuungana na adui mnaa Bora adui aliye huru na aliyebadili Nia kwa dhatiKama taifa itakuwa kujidanganya kuwa kipaumbele chetu siyo katiba mpya.
Wote wenye akili zao wanajua hivyo. Fursa yoyote ya kutuwezesha kupata katiba mpya haipaswi kupotezwa.
Kama kwa kumwunga mkono huyu kwenye hoja tunazokubaliana inaweza kusaidia kuharakisha kwenye hili kwa nini iwe dhambi?
Katiba mpya itapiganiwa kwa urahisi (na bila maumivu) zaidi kwa kushirikisha hata waliokuwa maadui.
Hatuwezi kuwa na maadui wa kudumu.
Hali kadhalika hatuwezi kuwa na marafiki wa kudumu.
Kuliko kuungana na adui mnaa Bora adui aliye huru na aliyebadili Nia kwa dhati
JN anawakati mgumu,like wise Samia pia anawakati mgumu!!, mama ameiweka wazwaz hii Vita!! lkn haikupaswa ifike huku!! wabunge wanawachora tu,na ss watz tunawachora tu. ukweli tunajua Nani yupo pamoja na watanzania kindakindaki na Nani anatufanyia maigizo !!
Leo Ndiyo mnaona thamani ya vyama mnavyoita vya kiharakati kwa kuwa tu maji yamewafika shingoni?Ukishikwa shikamana. Vyama vya harakati vinapaswa kuziona "lose balls" hizi na kuzifanyia kazi.
Hii nchi si ya mtu mmoja.
Tuwe na mustakabala wa kueleweka na uhuru kamili wa mihimili.
Hoja hazipaswi kupigwa marungu.
Watu Kama wewe
Sio yeye wakutuletea katiba mpya ya wananchi, yeye kama mmoja was waliojiwekea Kinga ya kutoshitakiwa hata kwa rungu hatakuwa tayari kuona katiba mpya inapatikana kirahisi, hata wanufaika was mfumo was Sasa WA ccm hawatakubali kirahisi, ila njia Moja wapo ni ya wanufaika was katiba chakavu kugawana fito ili yapatikane mawazo mapya yenye mtazamo was maslahi ya taifa, ila SI Kwa mhimili uliojisalimisha Kwa ule uliojichimbia zaidi , nakuona no haki yao kuelekezwa mini Cha kifanya, Kwa zaidi ya miaka6.Kwa hiyo wewe kama kwa kwenda na Ndugai tunaweza kupata katiba mpya baada ya mwaka 1, unaona acha tukomae kivyetu vyetu liwalo liwe hata kama tutafanikiwa baada ya miaka 10?
Leo Ndiyo mnaona thamani ya vyama mnavyoita vya kiharakati kwa kuwa tu maji yamewafika shingoni?
Bahati mbaya huyo aliyelikoroga hana "uhalali" wa kukubalika kuungwa mkono hasa ktk kudai ama uhuru wa maoni au kutuaminisha juu ya ubaya wa mikopo kwa sababu;
1. Alishiriki kuumiza wengi waliotoa maoni yao ya kuijenga nchi akaenda mbali sana kutaka hata uhai wao na maisha yao vipotee mf Lissu, J Slaa, nk.
Sio yeye wakutuletea katiba mpya ya wananchi, yeye kama mmoja was waliojiwekea Kinga ya kutoshitakiwa hata kwa rungu hatakuwa tayari kuona katiba mpya inapatikana kirahisi, hata wanufaika was mfumo was Sasa WA ccm hawatakubali kirahisi, ila njia Moja wapo ni ya wanufaika was katiba chakavu kugawana fito ili yapatikane mawazo mapya yenye mtazamo was maslahi ya taifa, ila SI Kwa mhimili uliojisalimisha Kwa ule uliojichimbia zaidi , nakuona no haki yao kuelekezwa mini Cha kifanya, Kwa zaidi ya miaka6.
Iwapo Hilo linawezekana ni fursa, ila ni kwa namna Gani Hilo linawezekana, kwani hapa yaweza kuwa ni mitazamo na maono. Hivyo kushirikishana zaidi fursa hiyo itaweza kuonekana dhahiri zaidi Kwa wote.Iko hivi, hata kwa uwezekano wa kuwa kuna sauti za kumwunga mkono huyu bwana hali ya watesi wetu huko ni tete.
Tofautisha agenda na Ndugai au awaye yote kama yeye.
Harakati ni pamoja na kum infiltrate, kumchanganya na kumsambaratisha adui.
Kina Katambi walikuwa kwetu. Hatustahili watu kwao?
Swali la msingi ungali hujajibu:
"Kwa hiyo wewe kama kwa kwenda na Ndugai tunaweza kupata katiba mpya baada ya mwaka 1, unaona acha tukomae kivyetu vyetu liwalo liwe hata kama tutafanikiwa baada ya miaka 10?"
Iwapo Hilo linawezekana ni fursa, ila ni kwa namna Gani Hilo linawezekana, kwani hapa yaweza kuwa ni mitazamo na maono. Hivyo kushirikishana zaidi fursa hiyo itaweza kuonekana dhahiri zaidi Kwa wote.
Ndugai hapaswi kuonewa huruma hata kidogo kwa alichomtendea Lissu. Angalau Mama yeye alienda hata kumwona mgonjwa. Ndugai alijiunga na kikundi cha mabaradhuli sasa ni wakati wa kupata malipo ya matendo yake. Huwezi fanya kazi za shetani ukawa na mwisho mzuri.
Shida ya wanasiasa wetu wakichukia mtu wanchukia na kile anachokisema ata kama kitakuwa kizuri au chenye faida kwake.
Kwahiyo tumuunge mkono aliekopa trillion 10 kwa ajili ya madawati?!Ndugai atakula alikopeleka mboga.
Nani amuunge mkono mtu mwenye faili mirembe!?
aisifie mvua imemnyea kuna jambo hutaki kuliweka wazi, hebu tema nyongo roho isuzike. ila pole in advance inaonekana kuna mengi yamekukuta. πSi bora hata wangenichukulia mke, kuliko kwa mateso waliyoyasababisha kwa WA TZ? na ndio maana kwa sasa yanayowakuta mnalia ki vyenu tu, lakini asilimia kubwa ni kicheko tu!!kulia ni kupokezana!!unaona kinachomkuta aliye kuwa mkuu wenu wa protokali za kihuni kanda ya kaskazini(SABAYA), sasa hivi amebakia pekee yake anajuta!!
Mliamini kuwa lile shetani lenu litaishi milele, .MUNGU FUNDI