Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

Sasa kama unaona barabara zinajengwa kwa kasi na maendeleo ni makubwa kwa nini mnampinga Rais Magufuli aliesimamia hayo?
Rafiki yako akikujengea kanyumba halafu akamgegeda wifey wako ni wazi wewe utampongeza sana
 
Sio kweli
Nadhani unayasikia mambo ambayo watu wananailalamikia serikali lakini wewe unawataka wapongeze kwa ujenzi wa barabara na madaraja. Je mfano huo kwako ni batili?
Mimi si mmoja wa hao mashabiki wa vyama lakini hupendelea kuuona ukweli.
 
Sawa mkuu.lakini embu nambie wewe nchi gani haina walalamikaji?
Huwezi ukaridhisha watu wote.Mambo yanaenda hatua kwa hatua mpaka tutafika Inshallah.
 
Ni haki yao, waache walalamike huku wewe unasonga.
 
Back
Top Bottom