Rafiki yako akikujengea kanyumba halafu akamgegeda wifey wako ni wazi wewe utampongeza sanaSasa kama unaona barabara zinajengwa kwa kasi na maendeleo ni makubwa kwa nini mnampinga Rais Magufuli aliesimamia hayo?
Sio kweliRafiki yako akikujengea kanyumba halafu akamgegeda wifey wako ni wazi wewe utampongeza sana
Nadhani unayasikia mambo ambayo watu wananailalamikia serikali lakini wewe unawataka wapongeze kwa ujenzi wa barabara na madaraja. Je mfano huo kwako ni batili?Sio kweli
Huyo haaminiki siku hiziUpo uzi Pasco alisema mwaka jana, wewe u mgeni humu shemeji?
Sawa mkuu.lakini embu nambie wewe nchi gani haina walalamikaji?Nadhani unayasikia mambo ambayo watu wananailalamikia serikali lakini wewe unawataka wapongeze kwa ujenzi wa barabara na madaraja. Je mfano huo kwako ni batili?
Mimi si mmoja wa hao mashabiki wa vyama lakini hupendelea kuuona ukweli.
Ni haki yao, waache walalamike huku wewe unasonga.Sawa mkuu.lakini embu nambie wewe nchi gani haina walalamikaji?
Huwezi ukaridhisha watu wote.Mambo yanaenda hatua kwa hatua mpaka tutafika Inshallah.
Big up sana .Kumbe tuko pamojaNi haki yao, waache walalamike huku wewe unasonga.