Msamaha wa ushuru wa gari kwa mtumishi wa umma ni lazima uagize au hata gari za yard?

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,782
Reaction score
2,844
Wakuu habari za weekend?
Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka custom bonded ware house au yard za hapahapa bongo, hiyo inakubalika? Kama ndiyo, inafanyaje kazi? Kwamaana ya hiyo amount unaipataje ilihali yard walishalipia walipoingiza hiyo gari nchini?
 
Ili gari isajiliwe katika jina lako, unapitia tra ambao watakupa gharama zinazofanana na mchakato wa kuingiza gari. Hapo ndio utaenda kwa aliyekuajiri ili upate punguzo au msamaha wa Kodi.
 
Sasa kwa magari ambayo tayari yalishaagizwa na kulipiwa hiyo import duty na yapo hapa nchini kwenye yard, inakuwaje hapo mkuu?
 
Hakunaga msamaha.

Maana siku ukitaka kuliuza hilo gari lazima Ile Kodi uliosamehewa ulipe (either ulipe wewe ama mtu unayemuuzia hilo gari)

Na huwezi kupata msamaha mwingine mpaka miaka 10 ipite (unless ulipie huo msamaha wa sasa)

Kwa kifupi huo msamaha una mantiki endapo gari utaishi nalo milele.
 
Attachments

  • IMG_9030.jpeg
    IMG_9030.jpeg
    137.8 KB · Views: 57
Back
Top Bottom