Wakuu habari za weekend?
Naomba uzoefu wa mada tajwa hapo juu kutoka kwa mtumishi aliyewahi kupata msamaha wa import duty au kutoka kwa wakala wa forodha mwenye uzoefu au aliyewahi ku deal na kesi kama hizo au ushuhuda wa aliyewahi kushuhudia msamaha. Je? Kwa mtumishi akitaka kununua gari toka custom bonded ware house au yard za hapahapa bongo, hiyo inakubalika? Kama ndiyo, inafanyaje kazi? Kwamaana ya hiyo amount unaipataje ilihali yard walishalipia walipoingiza hiyo gari nchini?