Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama Millard anaweza kutangaza bifu kwa ajili hiyo coz' hata yeye mwenyewe (Millard) mara kwa mara amekuwa akisema kwamba shule haipandi... anasema wazi kwamba darasani alikuwa mweupe ile mbaya!!kwa tabia ya wabongo kugeuza ukweli kua uadui sitoshangaa milard akitangaza kua na beef na msami
Duh... naona unakuja juu ile mbaya... for what I know Millard wala haonei aibu suala la yeye kutokuwa na shule... mara kibao hata yeye mwenyewe ameshapata kusema hadharani kwamba shule kwake ilikuwa ni full mushkeli... si kwamba alikuwa ni mtu wa kupiga ndela bali anasema wazi kwamba hakuwa na akili darasani kwahiyo am certain huo ushauri Millard wala hautamkwaza!!! Mtu wa kukwazika ni yule ambae anataka aonekane yupo class fulani (ya juu) kumbe si lolote!!!ivi kwanini wewe uwa unajitoa uelewa kwa mambo yaliyo wazi kabisa.
Acha unafiki mtoto wa kiume wewe.
teh teh teh
Leo umeona umuhimu Wa shule sio?
Hakuna elimu iliyo kubwa zaidi ya kujitambua na kufahamu iwapo malengo yako yanakamilika au la?sasa hivi huyo anaemsema mwinzie yeye anatushawishi vipi. Ilitufahamu kuwa anaelimu zaidi ya mwenzake?????Fahamu kuwa kiwango cha elimu hakipimwi kwa cheti chochote kile bali kinapimwa kwa uwenzo wa mtu kutatua changamoto ktk maisha na kuishi maisha yasio na dhiki hiyo ndio tofauti ya mtu mwenye Elimu na asiyekuwa nayo sasa jitadhimini wewe na yeye nani mwenye elimu??
teh teh teh
Leo umeona umuhimu Wa shule sio?
Mimi napiga miguu yote miwili.
Shule naijua na mitaa naijua. Usipime !
Ha ha ha ha
Nimecheka Sana
Ha ha ha ha
Mhh ivyo vicheko kwa mtoto wa kiume hauwezi kuwa mzima....
Anyways, Unaitaji kuwa na akili nyingi sana kunielewa.
Hahahahaaaa, unaogopa ya JK na kagame nini?Kamshauri vizuri dogo lasi. Japokuwa hii angemfuata angekuwa poa zaidi.
Kama ndio aliomfundisha basi ni kweli hana shule,hivi msami kaacha kazi TBC kumbe? Lini ameacha kazi TBC? Nimekuta kipindi ndio kinaishia nimesikia anasema kwamba anakaa jirani na Havard university ni kweli au nimemsikia vibaya? Jamaa ile Raizoni aliyopiga katisha.