Msami amshauri Millardayo aende shule

Msami amshauri Millardayo aende shule

Ushauri angemwita nakumwambia...ila kuongea mbele ya adhara bado hajamshauri...uelewa wangu
 
kwa tabia ya wabongo kugeuza ukweli kua uadui sitoshangaa milard akitangaza kua na beef na msami
Sidhani kama Millard anaweza kutangaza bifu kwa ajili hiyo coz' hata yeye mwenyewe (Millard) mara kwa mara amekuwa akisema kwamba shule haipandi... anasema wazi kwamba darasani alikuwa mweupe ile mbaya!!
 
ivi kwanini wewe uwa unajitoa uelewa kwa mambo yaliyo wazi kabisa.

Acha unafiki mtoto wa kiume wewe.
Duh... naona unakuja juu ile mbaya... for what I know Millard wala haonei aibu suala la yeye kutokuwa na shule... mara kibao hata yeye mwenyewe ameshapata kusema hadharani kwamba shule kwake ilikuwa ni full mushkeli... si kwamba alikuwa ni mtu wa kupiga ndela bali anasema wazi kwamba hakuwa na akili darasani kwahiyo am certain huo ushauri Millard wala hautamkwaza!!! Mtu wa kukwazika ni yule ambae anataka aonekane yupo class fulani (ya juu) kumbe si lolote!!!
 
Hakuna elimu iliyo kubwa zaidi ya kujitambua na kufahamu iwapo malengo yako yanakamilika au la?sasa hivi huyo anaemsema mwinzie yeye anatushawishi vipi. Ilitufahamu kuwa anaelimu zaidi ya mwenzake?????Fahamu kuwa kiwango cha elimu hakipimwi kwa cheti chochote kile bali kinapimwa kwa uwenzo wa mtu kutatua changamoto ktk maisha na kuishi maisha yasio na dhiki hiyo ndio tofauti ya mtu mwenye Elimu na asiyekuwa nayo sasa jitadhimini wewe na yeye nani mwenye elimu??

Daa umefafanua vizur had raha ila anavyosema aende shule, je wakat alivyompokea wapo radio hakuona kuna haja ya Millard kusoma? au ni ili tu ijulikane alimshaur kusoma na pia Millard anaongeaga ukwel kabisa kwamba form four alifeli ndio akaamua kwenda kusomea kitu kitachomsaidia ambacho ni utangazaji na vile vile usikute baada ya clouds atajiajir mwenyw sio tena kuajiriwa
 
Kumbe wanahabari wengi vihiyo? Halafu mnataka mzee mengi atoboe mifuko kwa kina millard type?
 
Mimi napiga miguu yote miwili.

Shule naijua na mitaa naijua. Usipime !

Ha ha ha ha

Nimecheka Sana poor caliber zilivyo aisee

Hapa unasema hili kule lile...
Nyie ndo zile akili unatumwa chumvi dukani dakika mbili ushasahau unaleta hamira...
Ha ha ha ha
 
Mhh ivyo vicheko kwa mtoto wa kiume hauwezi kuwa mzima....

Anyways, Unaitaji kuwa na akili nyingi sana kunielewa.

Teh teh teh

Akili nyingi kukuelewa poor thinker Kama matumbo??

Yaani watu Kama nyie huwa haihitaji kupoteza muda au kutumia akili kuwaelewa....
 
Yuko radio ya umoja wa mataifa, nadhani yuko na flora nducha kama dabo hajatoka hapo radio UN

Kama ndio aliomfundisha basi ni kweli hana shule,hivi msami kaacha kazi TBC kumbe? Lini ameacha kazi TBC? Nimekuta kipindi ndio kinaishia nimesikia anasema kwamba anakaa jirani na Havard university ni kweli au nimemsikia vibaya? Jamaa ile Raizoni aliyopiga katisha.
 
Back
Top Bottom