Msami: Hakuna ubaya mimi kutoka kimapenzi na Kajala

Msami: Hakuna ubaya mimi kutoka kimapenzi na Kajala

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
kajala.jpg

Msanii Msami ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa ‘Mabawa’ amefunguka na kusema kuwa yeye ni mwanaume na Kajala ni mwanamke hivyo kwa kile ambacho kinazungumzwa na watu kuwa huenda anatoka naye kimapenzi

‘Si jambo baya kwani Kajala ni mtoto wa kike na yeye ni mwanaume hivyo chochote kinaweza kutokea kati yao’.

Msami alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWS na kudai kuwa maneno yanazungumzwa juu yake na Kajala huenda yapo na kama hayapo labda yanaweza kuja kutokea, ila anadai yeye na Kajala ni washikaji, ambao wamekuwa wakishirikiana na kusaidia mambo mengi.
 
huyu msami nae hasemagi ukweli

kwa uwoya alisemaga hivo hivo
 
ah ah makapi ya P
nimeamin kipya kinyemi ingawa ....
 
Kajala na Wadada wote wa Bongo movie wanapenda Vijana waliowazid Akiuelewa anakutunukuu tuu na Huduma utapewaa *Tamuuu* sema
 
Ehheeheh ila kajala mzuri jamani acha msami awale tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ajipigie tu. Maana ni mwendo wa kupokezana vijiti tu
 
Back
Top Bottom