Hatuna shida na ikulu
Sisi tunawaza elimu na maendeleo,nyie mlioenda ikulu mna nn? Mbona mikoa maskini karibia yote ni ya ukanda huo wenu ?
Mnachotuzid nacho Ni kupanda fisi tu
Ambao hawali Bata ni kina nan? Serikalin tumejaa toka enz za Uhuru sio nyie mlioletwa juziSukuma Gang Hoyee na bado mpaka sasa wanapeta tu,au hujui kina Doto James wanakula bata! Kaeni kwa kutulia,enzi zenu zilishapitwa na Wakati.
Aliwaendsha nyie sio sisi,ndio maana mmebaki kuwa mikoa maskini ilhali alikuwa ikulu
Sisi hatuna shida nae rekodi ya mkoa Bora kwa maendeleo,elimu haikubadilika pole
Tulianzisha ili kukomboa FIKRA mbadala ndio maana chama hicho kipo nchi nzima nyie hata saccos mna uwezo wa kuanzisha?Mngekuwa hamna shida na Ikulu msingeanzisha Chama cha Kisiasa! Ikulu mnapatani sana ila ndiyo hivyo tena.
Ambao hawali Bata ni kina nan? Serikalin tumejaa toka enz za Uhuru sio nyie mlioletwa juzi
Haujui kuwa wizara ya fedha,bot viongoz waandamz Ni wachaga? Au ulidhan uongozi Ni uwazir tu?Aliwaendesha sana tu otherwise msingekuwa mnatokwa povu na miradi ya Kanda ya Ziwa. JPM kawafix hamtosahau,naona na Mama anapita mule mule,pale Wizara ya Fedha pale pia hamkanyagi
Tulianzisha ili kukomboa FIKRA mbadala ndio maana chama hicho kipo nchi nzima nyie hata saccos mna uwezo wa kuanzisha?
Haujui kuwa wizara ya fedha,bot viongoz waandamz Ni wachaga? Au ulidhan uongozi Ni uwazir tu?
Miziz gan? Yan mmeingia serikaln juz mtubabaishe? Ikulu tumeikalia mno tangu Uhuru hata mkapa alioa kwetuKaeni sasa kwa kutulia,sasa hivi Sukuma Gang imejichimbia mizizi mirefu,hamna la kufanya.
Kwan bila ubabe mngeambulia kitu? Vipi 2015 mbona huuliz?Bwaha ha ha ha! Eti mlianzisha ili kufanyaje? Sasa hivi mna Wabunge wangapi vile Nchi nzima. Asante JPM kutufixia hawa watu.
Miziz gan? Yan mmeingia serikaln juz mtubabaishe? Ikulu tumeikalia mno tangu Uhuru hata mkapa alioa kwetu
Kwan bila ubabe mngeambulia kitu? Vipi 2015 mbona huuliz?
Wale ni viongoz professional sio wa kuteuliwa n'a watazd kuwa hapo mda woteWote ni Vijakazi tu wanatumwa tumwa enzi za JPM walitumwa na Mpango na Doto Sasa hivi wanatumwa na Mwiguru[emoji3][emoji3][emoji3]
Wale ni viongoz professional sio wa kuteuliwa n'a watazd kuwa hapo mda wote
Ukienda bot pâle wahasibu,wachumi ni wao
Pia ktk vyuo kozi ngumu ngumu kama accountancy, economy, engineering wao ndio majority
So what? Mbona nyie Ni mikoa maskini ? Sasa ikulu imewasaidiaje? Hahaha wapanda fisi bhanaBasi mkuu naona sasa unataka kulia,ngoja nikuache,umefikia hatua ya kujivunia Mke wa Mkapa kuwa Ikulu wakati sisi tunakwambia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa JPM kijana kutoka Usukumani. Sukuma Gang hoyeee[emoji3][emoji3]
So what? Mbona nyie Ni mikoa maskini ? Sasa ikulu imewasaidiaje? Hahaha wapanda fisi bhana
Sasa ma CPA wanaoongoza Ni kina Nani? Ni wapanda fisi? Pita pale ifm ufanye simple researchEti kozi ngumu ngumu Accountacy,watu tunapiga Single Sit CPA unakuja kutuimbia blah blah blah hapa kozi ngumu.Nakwambia kunywa K-Vant kwa Ndeshiro upunguze hasira.
Sasa ma CPA wanaoongoza Ni kina Nani? Ni wapanda fisi? Pita pale ifm ufanye simple research
Nenda muhimbili pale uone vitengo nyeti vipo chini ya Nani
Nenda udsm,ardhi uone waandamz pale Ni kina Nani aiseee kusoma raha
Heri uwe mtu wa mitutu kuliko primitive mind ya kupanda fisiBora sis wapanda fisi basi, nyinyi je watu wa mtutu wa bunduki......