Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Hatuna shida na ikulu
Sisi tunawaza elimu na maendeleo,nyie mlioenda ikulu mna nn? Mbona mikoa maskini karibia yote ni ya ukanda huo wenu ?
Mnachotuzid nacho Ni kupanda fisi tu

Mngekuwa hamna shida na Ikulu msingeanzisha Chama cha Kisiasa! Ikulu mnapatani sana ila ndiyo hivyo tena.
 
Sukuma Gang Hoyee na bado mpaka sasa wanapeta tu,au hujui kina Doto James wanakula bata! Kaeni kwa kutulia,enzi zenu zilishapitwa na Wakati.
Ambao hawali Bata ni kina nan? Serikalin tumejaa toka enz za Uhuru sio nyie mlioletwa juzi
 
Aliwaendsha nyie sio sisi,ndio maana mmebaki kuwa mikoa maskini ilhali alikuwa ikulu
Sisi hatuna shida nae rekodi ya mkoa Bora kwa maendeleo,elimu haikubadilika pole

Aliwaendesha sana tu otherwise msingekuwa mnatokwa povu na miradi ya Kanda ya Ziwa. JPM kawafix hamtosahau,naona na Mama anapita mule mule,pale Wizara ya Fedha pale pia hamkanyagi
 
Mngekuwa hamna shida na Ikulu msingeanzisha Chama cha Kisiasa! Ikulu mnapatani sana ila ndiyo hivyo tena.
Tulianzisha ili kukomboa FIKRA mbadala ndio maana chama hicho kipo nchi nzima nyie hata saccos mna uwezo wa kuanzisha?
 
Aliwaendesha sana tu otherwise msingekuwa mnatokwa povu na miradi ya Kanda ya Ziwa. JPM kawafix hamtosahau,naona na Mama anapita mule mule,pale Wizara ya Fedha pale pia hamkanyagi
Haujui kuwa wizara ya fedha,bot viongoz waandamz Ni wachaga? Au ulidhan uongozi Ni uwazir tu?
 
Tulianzisha ili kukomboa FIKRA mbadala ndio maana chama hicho kipo nchi nzima nyie hata saccos mna uwezo wa kuanzisha?

Bwaha ha ha ha! Eti mlianzisha ili kufanyaje? Sasa hivi mna Wabunge wangapi vile Nchi nzima. Asante JPM kutufixia hawa watu.
 
Haujui kuwa wizara ya fedha,bot viongoz waandamz Ni wachaga? Au ulidhan uongozi Ni uwazir tu?

Wote ni Vijakazi tu wanatumwa tumwa enzi za JPM walitumwa na Mpango na Doto Sasa hivi wanatumwa na Mwiguru[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kaeni sasa kwa kutulia,sasa hivi Sukuma Gang imejichimbia mizizi mirefu,hamna la kufanya.
Miziz gan? Yan mmeingia serikaln juz mtubabaishe? Ikulu tumeikalia mno tangu Uhuru hata mkapa alioa kwetu
 
Basi mkuu naona sasa unataka kulia,ngoja nikuache,umefikia hatua ya kujivunia Mke wa Mkapa kuwa Ikulu wakati sisi tunakwambia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa JPM kijana kutoka Usukumani. Sukuma Gang hoyeee[emoji3][emoji3]
 
Wote ni Vijakazi tu wanatumwa tumwa enzi za JPM walitumwa na Mpango na Doto Sasa hivi wanatumwa na Mwiguru[emoji3][emoji3][emoji3]
Wale ni viongoz professional sio wa kuteuliwa n'a watazd kuwa hapo mda wote
Ukienda bot pâle wahasibu,wachumi ni wao
Pia ktk vyuo kozi ngumu ngumu kama accountancy, economy, engineering wao ndio majority
 
Eti kozi ngumu ngumu Accountacy,watu tunapiga Single Sit CPA unakuja kutuimbia blah blah blah hapa kozi ngumu.Nakwambia kunywa K-Vant kwa Ndeshiro upunguze hasira.
 
Basi mkuu naona sasa unataka kulia,ngoja nikuache,umefikia hatua ya kujivunia Mke wa Mkapa kuwa Ikulu wakati sisi tunakwambia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa JPM kijana kutoka Usukumani. Sukuma Gang hoyeee[emoji3][emoji3]
So what? Mbona nyie Ni mikoa maskini ? Sasa ikulu imewasaidiaje? Hahaha wapanda fisi bhana
 
Eti kozi ngumu ngumu Accountacy,watu tunapiga Single Sit CPA unakuja kutuimbia blah blah blah hapa kozi ngumu.Nakwambia kunywa K-Vant kwa Ndeshiro upunguze hasira.
Sasa ma CPA wanaoongoza Ni kina Nani? Ni wapanda fisi? Pita pale ifm ufanye simple research
Nenda muhimbili pale uone vitengo nyeti vipo chini ya Nani
Nenda udsm,ardhi uone waandamz pale Ni kina Nani aiseee kusoma raha
 
Leo utalia machozi,wote hao waliufyata mbele ya Sukuma Gang.
 
Back
Top Bottom