Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Hatuna shida na ikulu
Sisi tunawaza elimu na maendeleo,nyie mlioenda ikulu mna nn? Mbona mikoa maskini karibia yote ni ya ukanda huo wenu ?
Mnachotuzid nacho Ni kupanda fisi tu
Mngekuwa hamna shida na Ikulu msingeanzisha Chama cha Kisiasa! Ikulu mnapatani sana ila ndiyo hivyo tena.