Mbona siyo mara ya kwanza ninyi kutabiri hivyo. Mlianza siku nyingi sana! Alipoingia tu huyo Mwendazake akaapa kuufuta kabisa upinzani. Badala yake kafutika yeye. Na wewe waweza futika kwenye uso wa dunia na kuiacha Chadema ikiendelea kuwepo. Chunga ulimi, na Jiwe naye alijifanya mwamba akaishia hospitali ya vichochoroni huko siju MzenaNakuhakikishia kuwa 2025 tutaidelete kabisa CHADEMA haitakuwepo maana kimekuwa kikundi cha kigaidi kabisa
Wakati mwingine ni msimamo tu unaotafsiriwa kuwa ni roho mbaya.Huyu JIWE alizidi kuwa na Roho mbaya ya kupindukia. Ametufanya tuwaone wasukuma ni kama mashetani fulani hivi.
Asante mkuu kwa kuwakilisha maoni yako kwa uwazi.Bwashekhee hii kitu Ya kuita watu wa kanda ya ziwa SUKUMA GANG imewaingia haswaaaa wakazi wenyewe na wanaumia vibaya mno na imewafanya wajitambue Zaid kua wanatengwa kwa Kabila lao.
Kabila kama la wasukuma na ndugu zao wa kanda ya ziwa si wanyonge kihivyo,Hata uwingi wao unasadifu sana kia wao ni jamii ya watu wasiopuuzika pindi wakibaguliwa kikabila.
Viongozi wa hizi kampeni ni;
CHADEMA
BAVICHA
MSOGA TROOPS wakiongozwa na kina nape,Ridhiwani na Makamba
WATUMISHI WAZEMBE NA WEZI
NA WACHAGA WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO MBOWE.
Sukuma gang ndio nini kwani kwa tafsiri rasmi?
Angalia sasa watu wanataka kutoana macho huko Chato na Geita wakipinga kuanzishwa mkoa wa Chato. Badala ya wazo hilo kuwa la serikali likabaki kuwa la mtu binafsi na kaondoka na kuacha sokomokoWakati mwingine ni msimamo tu unaotafsiriwa kuwa ni roho mbaya.
Hakutaka kuyumbishwa na mitazamo tofauti ya watu. Nchi hii kila mtu anajua kila kitu na anajiona anayo haki ya kusikilizwa.
Wao hawajui ina waumiza sana wasukuma wenye mapenzi mema na rais pamoja na nchi yao.Waache walitumie hadi 2025 tutaona matokeo yake.
Ikitoka sukuma gang watahamia udini hapo ndo utasikia rais dini gani,waziri mkuu dini,mwana sheria mkuu dini gani,makamu wa rais dini gani.Ukabila haufai kwa taifa letu
Hizi element zilianza tangu awamu iliyopita hazikukemewa badala yake watu walianza kuzisifu na sasa madhara yake yameanza kuonekanaIkitoka sukuma gang watahamia udini hapo ndo utasikia rais dini gani,waziri mkuu dini,mwana sheria mkuu dini gani,makamu wa rais dini gani.
wawaache tu waendelea maana neno hili lina burudisha nafsi zao.
Wanataka wamharibie mama Kwa chuki zao kwa wasukuma.Bwashekhee hii kitu Ya kuita watu wa kanda ya ziwa SUKUMA GANG imewaingia haswaaaa wakazi wenyewe na wanaumia vibaya mno na imewafanya wajitambue Zaid kua wanatengwa kwa Kabila lao.
Kabila kama la wasukuma na ndugu zao wa kanda ya ziwa si wanyonge kihivyo,Hata uwingi wao unasadifu sana kia wao ni jamii ya watu wasiopuuzika pindi wakibaguliwa kikabila.
Viongozi wa hizi kampeni ni;
CHADEMA
BAVICHA
MSOGA TROOPS wakiongozwa na kina nape,Ridhiwani na Makamba
WATUMISHI WAZEMBE NA WEZI
NA WACHAGA WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WAO MBOWE.
Hebu nipe mfano ambapo kabila fulani lilishambuliwa ndo waliokuwa wakimkwamisha mwendezake?Hizi element zilianza tangu awamu iliyopita hazikukemewa badala yake watu walianza kuzisifu na sasa madhara yake yameanza kuonekana
Ni muhimu sana kuelewa hisia na fikra za wananchi ili kujenga umoja, mbali na hivyo tutaendelea kuona mgawanyiko ambao hautatibika kirahisiHebu nipe mfano ambapo kabila fulani lilishambuliwa ndo waliokuwa wakimkwamisha mwendezake?
siku zote chuki yake ilikuwa ni majizi si kabila.
Huyu wa CHADEMA kajimaliza baada ya kufitinisha Wachaga na Wasukuma.Wasukuma tutashirikiana dhidi ya huu udhalilishaji na njia pekee ni kuiadhibu Chadema na mwenyekiti wake
Ni nani aliitwa jizi kwa kueleza tu hisia zake? Magufuli hakucheka na wezi hata wa kabila lake nani asiyejua ni wakati wa utawala wake, Robart Kisena wa mabasi ya mwendokasi alimweka ndani,ili hali wakati wa JK alikuwa akitamba,aliwahi kumkata ngwala OCD wa Maswa na akaendelea kudunda.Ni muhimu sana kuelewa hisia na fikra za wananchi ili kujenga umoja, mbali na hivyo tutaendelea kuona mgawanyiko ambao hautatibika kirahisi
Tanzania ni nchi moja bila kujali ukanda wala ukabila, suala la majizi nadhani kuna mamlaka husika zinashughulikia na sio sahihi kila mtu anapoeleza hisia zake kuitwa jizi au ana chuki, hayo ni baadhi ya maneno yaliyochochea mgawanyiko na ni vizuri tukachunga kile tunachozungumza mbele ya wananchi
Matusi yanini sasa Sukuma GangNani aliyekipanda, nyinyi wapuuzi sana
Magufuli alikuwa ni Mrundi anayeongea KISUKUMA. Sidhani Kama wazee kama akina Andrew Chenge, John Cheyo au Anthony Diallo wanamkubali kama ni mwenzaoyaweza kuwa ww ni jambazi
Magufuli ni shujaa wetu wewe tapeli acha unonko
Nyie wachaga mna wivu sana tena wa kijinga lkn ndio hivyo wote saa hz ni wajanja tutaigawana kisawasawa keki ya TaifaMagufuli alikuwa ni Mrundi anayeongea KISUKUMA. Sidhani Kama wazee kama akina Andrew Chenge, John Cheyo au Anthony Diallo wanamkubali kama ni mwenzao
Mqgufuli ni msukuma amewatesa na ataendelea kuwatesa majizi mbwa nyieMagufuli alikuwa ni Mrundi anayeongea KISUKUMA. Sidhani Kama wazee kama akina Andrew Chenge, John Cheyo au Anthony Diallo wanamkubali kama ni mwenzao
Mimi siyo Mchagga na wala siendekezi ukabila. Mambo ya ukabila aliendekeza huyo mshamba aliyekufa kwa COVID 19.Nyie wachaga mna wivu sana tena wa kijinga lkn ndio hivyo wote saa hz ni wajanja tutaigawana kisawasawa keki ya Taifa