Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Wasukuma mtanisamehe, Hili ndo kabila pekee ambalo unakubaliana na mtu vizuri jambo then mkikutana baada ya masaa mawili ana mawazo mengine tofauti kabisa. Mfano Hayati alivyahidi 2015 na pushup fake na alichokifanya kwa miaka aliyopewa, SUKUMA GANG ni vigeugeu..
 
Weka orodha ya mawziri, na viongozi wengine wa jiwe na kanda wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi
Ni sawa na kuulizia nzi kwenye kinyesi porini.
Wewe taja Top 10 za nchi kuanzia Pentagon mpaka White house, kwa majina alafu useme yupi siyo Suukuu maGANG
 
Hakika hii kitu ni vema tukaacha kuipa promotion kwani ni mbegu ambayo haitaleta matunda matamu.
 
Ni wajinga tu wanaoweza kushangilia Sukuma Gang. Hata wanaoitwa Sukuma Gang siyo wasukuma. Yeyote aliyekuwepo madarakani alipachikwa Sukuma jambo lisilo la kweli. Kama kweli mtaendekeza hilo na kweli Lake Zone iungane kufanya ukabila mtatokea wapi? Ni kweli kuna makabila fulani wamezoea kuwa ofisini na wanapoondolewa wanataka kuwaaminisha watu kuna Ukabila wakati wao ndiyo wanaendekeza ukabila. Jambo hilo halina maana kwa ustawi wa nchi na anayelitumia ujue anayo agenda binafsi. Mmewaona walianza kujinasibu kwa kumpatia sifa kedekede SSH lakini siku chache baada ya kuona teuzi hazilalii kwao wameshaamka kumtukana.
 
Taja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?

Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Nani ka kwambia ni wachaga tuuu??? Shoka moja mbuyu chin
 
Ni wajinga tu wanaoweza kushangilia Sukuma Gang. Hata wanaoitwa Sukuma Gang siyo wasukuma. Yeyote aliyekuwepo madarakani alipachikwa Sukuma jambo lisilo la kweli. Kama kweli mtaendekeza hilo na kweli Lake Zone iungane kufanya ukabila mtatokea wapi? Ni kweli kuna makabila fulani wamezoea kuwa ofisini na wanapoondolewa wanataka kuwaaminisha watu kuna Ukabila wakati wao ndiyo wanaendekeza ukabila. Jambo hilo halina maana kwa ustawi wa nchi na anayelitumia ujue anayo agenda binafsi. Mmewaona walianza kujinasibu kwa kumpatia sifa kedekede SSH lakini siku chache baada ya kuona teuzi hazilalii kwao wameshaamka kumtukana.
Mama amwona na amelivunja hilo kundi la SG
 
TUWAOMBE MSAMAHA watanzania maana ukabila tumeulea sisi wasukuma sasa kuitwa SUKUMA GANG imekuwa nongwa.
Hebu anzia pale mkuu wa nxhi mpaka naibu waziri ni akina nani?

Ikafika mahala mpaka watu wa darasa la nne wakapata ubunge na kuanza kuwadharau Maprofessor bungeni kiasi kwamba vijana mtaani wakaanza kudharau umuhimu wa Elimu simply because msukuma wa darasa la saba alikuwa mshauri Mkuu wa mwendazake! Msukuma akikutamkia kuwa kesho huna kazi kweli keshoyake unafukuzwa!!! BAGOSHA OYEEE!
 
Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.

Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.

Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.

Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Mbona hatujawahi kukusikia ukishauri KONDE GANG lisitumike?
Au nawe ni kati ya wanachama wa hilo sukuma gang?
 
Mbona jina limependeza tu bila hata suti na tai 😸😸😸!!!
Au ulitaka waite kiswaga “K.U.M.A GANG!!!”
 
Back
Top Bottom