Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 594
Si wachaga peke yake tuko wengiTaja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?
Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
Ni sawa na kuulizia nzi kwenye kinyesi porini.Weka orodha ya mawziri, na viongozi wengine wa jiwe na kanda wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi
Tusipoipigia kelele sasa, ipo siku atarudi mwingine na michezo kama hiiHakika hii kitu ni vema tukaacha kuipa promotion kwani ni mbegu ambayo haitaleta matunda matamu.
Ndio waliotoa upendeleo kwa wasukuma?Hili neno limeanzishwa na wachaga.
Wivu wa kufuga fisi na chatu???Wivu ndio unaokusumbua.
Wivu wa kulala chumba kimoja na mifugo? Sukuma Gang tulieni mnyweshwe dawa iwaingie fresh upopoma wenuWivu wa kufuga fisi na chatu???
Nani ka kwambia ni wachaga tuuu??? Shoka moja mbuyu chinTaja safu yote ya viongozi na kanda zao wanazotoka tuone wasukuma ni wangapi?
Alafu nilishawahi kuhoji kwanini wanaolalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga tu?
alieanzisha ni Kigogo. ambae hakuna anaejua kabila lake. so uache kusingizia makabilaHili neno limeanzishwa na wachaga.
Mama amwona na amelivunja hilo kundi la SGNi wajinga tu wanaoweza kushangilia Sukuma Gang. Hata wanaoitwa Sukuma Gang siyo wasukuma. Yeyote aliyekuwepo madarakani alipachikwa Sukuma jambo lisilo la kweli. Kama kweli mtaendekeza hilo na kweli Lake Zone iungane kufanya ukabila mtatokea wapi? Ni kweli kuna makabila fulani wamezoea kuwa ofisini na wanapoondolewa wanataka kuwaaminisha watu kuna Ukabila wakati wao ndiyo wanaendekeza ukabila. Jambo hilo halina maana kwa ustawi wa nchi na anayelitumia ujue anayo agenda binafsi. Mmewaona walianza kujinasibu kwa kumpatia sifa kedekede SSH lakini siku chache baada ya kuona teuzi hazilalii kwao wameshaamka kumtukana.
TUWAOMBE MSAMAHA watanzania maana ukabila tumeulea sisi wasukuma sasa kuitwa SUKUMA GANG imekuwa nongwa.
Hebu anzia pale mkuu wa nxhi mpaka naibu waziri ni akina nani?
Kwa hiyo kigogo no mchaga??Hili neno limeanzishwa na wachaga.
Wachaga.TUWAOMBE MSAMAHA watanzania maana ukabila tumeulea sisi wasukuma sasa kuitwa SUKUMA GANG imekuwa nongwa.
Hebu anzia pale mkuu wa nxhi mpaka naibu waziri ni akina nani?
Mbona hatujawahi kukusikia ukishauri KONDE GANG lisitumike?Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.
Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.
Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.
Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Pumbaf,umesahau kuwa wakati mwendazake yupo madarakani nyie ndiyo mlijiita hilo jina kisa kujikomba ili mpatiwe teuzi?Hili neno limeanzishwa na wachaga.