Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Masukuma yalijitia Hii Nchi ni Yao.
Hapana mkuu.

Mimi nisingeliweka hivyo.

Ni baadhi tu ya waTanzania wenye asili ya kabila hilo ndio waliojiona kama nchi hii ni yao. Hili ni kundi dogo tu lisilowahusisha sehemu kubwa sana ya waTanzania wenye asili ya kabila la wasukuma.

Kamwe hatuwezi kuwaweka watu wote katika chungu kimoja bila ya kufanya makosa.

Tuwazodoe hawa wanaojitambulisha kwa tabia yao mbaya hiyo bila ya kuhusisha wasiokuwemo.
 
Mbona inajulikana kwa nini wachaga waliona kama wanaonewa lakini ni ukweli usiopingika kuwa wachaga walikuwa wanafaidika sana na ufisadi wa siku za nyuma ndiyo maana walipoanza kushughulikiwa waliona kama wanalengwa wao wakati walikuwa wanalengwa mafisadi na si ukabila.
 
Mimi naendelea poa sana tu wewe naona unahangaika na Hayati hiyo ni ishara tosha kuwa Hayati alikupa kibano cha kutosha na hutamsahau katika maisha yako. Vipi biashara yako ya madawa ya kulevya utairudia tena?
Mama aongezewe muda atake asitake na akikataa alazimishwe🤣🤣🤣
 
Jameni, hivi mbona hatuelewani kwa jambo rahisi namna hii?

Kuna waTanzania wangapi wenye asili ya waChaga hapa nchini?

Ni ushahidi gani ulionao wewe unaoonyesha kwamba watu wote hao "walikuwa wanafaidika na ufisadi wa siku za nyuma..."; ushahidi wa hili kweli unao wewe?
Kwa nini uhusishe matendo ya watu wachache ndicho kiwe kielelezo cha jumuia nzima; kwa nini?
Huko uchagani hakuna wasiokuwa na chochote, kama walivyo waTanzania wengine toka sehemu mbalimbali hapa nchini?

Kwa nini hawa nao uwalaumu, kwa makosa ambayo hawayajui kabisa?

Kwa nini sheria zisiwashughulikie hawa wachache wanaofanya ufisadi bila kujali asili zao ni zipi?

Nini hasa faida inayotokana na kutuweka waTanzania kwenye makundi ya namna hii?

Huoni kwamba nyinyi ndio mnaozidi kuchochea moto wa ufarakano ndani ya taifa hili?

Ninatambua sana msimamo wako unaoambatana na jina lako "magu2016" na aina ya michango unayoweka humu; lakini kuna nyakati inabidi binaadam ujipime kama unayofanya yana manufaa kwenye jamii unayoipigania au yanaongeza tu uchungu na mifarakanyo.

Kwa nini tuzidi kuchochea mifarakanyo, si bora kunyamaza tu!
 
Daah! Basi sawa mkuu.
Bora tufanye siasa za vyama tu hizi za kikabila zitatupeleka pabaya.
 
Nyani haoni kundule nyie sukuma gang ushamba wenu na madudu yenu mnasingizia wachagga?
 
Wasukuma sasa macho yanawatoka kama mjusi aliye banwa na mlango
Ni kweli lakini haya yote aliyapandikiza mwendazake
Mimi mbona sio mchaga lakini nalalamikia huu USUKUMA GANG??? Ukabila mbaya sana
 
Ushawai ona mchaga anachagua kabila lingine limuongoze?
 
Ushawai ona mchaga anachagua kabila lingine limuongoze?
Mchagga ndio alikuwa Rais ? Sababu kuna wachawi haimaanishi wote tuwe wachawi
wachaga ni wabaguzi sana na ndio wanaeneza sumu mbaya dhidi ya wasukuma. Yani wao wakiungwa mkono ni demokrasia ila wasukuma wakiungwa mkono ni ukabila. Ndio maana chadema haitakaa itoboe tena usukumani.
 
Tanzania ina makabila mawili ? Ubaguzi ni ubaguzi tu no matter nani anautoa..., cha kusikitisha hizi ni fikra potofu zisizo na tija..., Kama Mtanzania sihitaji passport kuishi au kwenda popote pale wanaojidanganya hapa ni kwao / wamiliki pekee wa sehemu fulani nasikitika kusema kwamba wamepitwa na wakati...

Cha kusikitisha zaidi ni statement kama hizi sikutegemea zitoke kwa kiongozi wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…