Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Msamiati mpya wa SUKUMA GANG haufai, unaweza kuleta matatizo kwenye jamii hapo baadaye. Mamlaka ziliangalie hili

Wachagga Bwana wakiguswa wanatoa Waraka kabisa na povu kama lote.Ila nyinyi kukejeli Wasukuma ni ruksa si ndiyo.
Eeenh Heee.

Nyamizi, wewe sio mchaga wala sio Msukuma, sasa umejuaje kwamba mimi ni mchaga kama si kihelehele kingi unachoonyesha katika michango yote humu JF?
Umejipambanua kuwa kwenye timu mbovu kabisa ya akina Coccochannel na Jane Lowassa...; hivi mnapeana zamu ya kuja kuweka uchafu wenu humu?
 
Unawajua Wasukuma au unawasikia,Ikulu kwa CHADEMA mtaisikia “Viusasa”.Hapa sisi tutaenzi chama cha Mwendazake JPM,yoyote atakaepitishwa na CCM kwa Wasukuma huyo huyo atapigiwa kura tena kwa wingi.
LOooo!

Sina la ziada juu yako.

Unajieleza vyema bila ya kuongeza chochote juu yake.
 
Kwani uchaguzi ni ubunge tu mkuu? Mbona unakwepa kuleta data za uraisi hapa? Vipi kule Sengerema, Kahama na kwingineko; wabunge ni Wachaga?
wachaga ndio kabila pekee wanachaguana wenyewe kwa wenyewe, ndio maana hawajai kuchagua mbunge kabila lingine.
 
Mkuu kwani Mrisho Gambo ni mchanga? Wachaneni na hizi hoja dhaifu.
Ukijibiwa nitag Mkuu,Jimbo la Ilemela lilishawahi ongozwa na Mchagga,je Moshi Masanja anaweza kwenda kuwa Mbunge wao?
 
Jamaa alikuwa mbinafsi kupindukia. Na fisadi nyangumi kabisa.

Tumelipiza kisasi cha enzi zenu mlipokuwa mnachukua pesa hazina mnakwenda kujenga barabara na kuweka umeme hadi vijijini wakati Miji mikubwa kama Kigoma haina umeme wala barabara za lami za kuunganisa Kigoma na Mikoa mingine. Unakumbuka enzi za kina Basiri Mramba,Grey Mgonja,Harry Kitilya au umesahau. Jino kwa jino,umeona inavyouma eeeh! Karibu uone daraja Watu wanapiga kazi usiku na mchana,sasa hivi waweza pita kwa daraja la muda kwa gari kutoka Busisi-Kigongo.Ahsante JPM a true Son of Sukuma Land[emoji3][emoji3]
 
Majizi tu hamna lolote. Zitto alivyosema nyie ni washamba aliwapatia sana. Hamna cha maana mlichofanya zaidi ya kujenga airport kijijini na kuitia nchi kwenye madeni. Nyie hamna kitu mnaweza zaidi ya kuwa shamba boy

Hao hao Washamba wamewapigisha kwata hadi mkaomba pooh.Chezea Ngosha wewe! Haya nyinyi Born Town mtaishia kuzungusha mikono na Peoples Power! Ikulu mtapasikia Viusasa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Eeenh Heee.

Nyamizi, wewe sio mchaga wala sio Msukuma, sasa umejuaje kwamba mimi ni mchaga kama si kihelehele kingi unachoonyesha katika michango yote humu JF?
Umejipambanua kuwa kwenye timu mbovu kabisa ya akina Coccochannel na Jane Lowassa...; hivi mnapeana zamu ya kuja kuweka uchafu wenu humu?

Sukuma Gang hoyeee! Hapana chezea kina Ngosha,karibu Mwanza twende Busisi-Kigongo ukaone kazi inaendelea ya JPM Bridge. Tukitoka hapo tuzungukie barabara safi za viwango vya lami kali (siyo kama ile ya Dar- Moshi) si ulijionea mwenyewe kutoka Mwanza to Chato,tukimaliza turudi pale Airport Mwanza uone upanuzi Mkubwa uliofanyika,ukizidiwa na hasira utakula Sato wa kuchoma na Matobolwa ushushe pressure [emoji3][emoji3][emoji3]. CCM na itawale 100 yrs to come.
 
LOooo!

Sina la ziada juu yako.

Unajieleza vyema bila ya kuongeza chochote juu yake.

Ha ha ha na bado,mnadhani mtatunanga tuwatazame tu. Ukileta hoja za kifala nakupa za kifala zaidi,ukija na hoja zenye mashiko nitakupa hoja za mashiko pia. Uamuzi ni wako. Sukuma Gang Hoyeee.
 
Sukuma Gang hoyeee! Hapana chezea kina Ngosha,karibu Mwanza twende Busisi-Kigongo ukaone kazi inaendelea ya JPM Bridge. Tukitoka hapo tuzungukie barabara safi za viwango vya lami kali (siyo kama ile ya Dar- Moshi) si ulijionea mwenyewe kutoka Mwanza to Chato,tukimaliza turudi pale Airport Mwanza uone upanuzi Mkubwa uliofanyika,ukizidiwa na hasira utakula Sato wa kuchoma na Matobolwa ushushe pressure [emoji3][emoji3][emoji3]. CCM na itawale 100 yrs to come.
Unajionyesha kama kisichana kilichovunja ungo hivi karibuni, vipi bado hujaizoea vyema hali yako?

Ngoja nikuache na hali yako, usije ukanisingizia kuwa nimekuzidishia maumivu.
 
Nipo natafakari namna nchi hii imekuwa, hakuna jambo baya kama kumtambua mtu na kumponda kwa kutumia kiashiria cha kabila lake.

Hivi karibuni kumezuka tabia ya watumiaji wa mitandao hasa katika maswala ya kisiasa kutumia neno SUKUMA GANG kama utambulisho wa watu fulani waliokuwa wanafanya kazi kwa karibu na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli.

Binafsi neno hili naona linaweza leta matatizo ya kijamii kama ambavyo maneno Intarahamwe, facism, na mengine ya namna hiyo yalivyopelekea matatizo kwenye jamii.

Hivyo kutokana na neno hili kuwa na mlengo wa kibaguzi na chuki ni heri mamlaka kupiga marufuku matumizi ya neno hili pia niwaombe wahusika wanaotumia neno hili kuacha mara moja.
Meko aliasist ukabila kwa kuona kanda pendwa ni bora sana sasa wanaanza kulia huu ni unafiki wa kiwango kikubwa
 
Unajionyesha kama kisichana kilichovunja ungo hivi karibuni, vipi bado hujaizoea vyema hali yako?

Ngoja nikuache na hali yako, usije ukanisingizia kuwa nimekuzidishia maumivu.

Ulijifanya kupandisha mabega na kunikoromea kama kijana aliyeko kwa balehe,ukome kutunanga Wasukuma,Nchi hii ni yetu Sote,tuheshimiane. Uwe na siku njema Shimboni.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu kwani Mrisho Gambo ni mchanga? Wachaneni na hizi hoja dhaifu.

Arusha ina historia ya kuwa na Wabunge kutoka Makabila tofauti, nauliza Moshi kunaweza kuwa na Mbunge kabila jingine achilia mbali Msukuma?
 
Waache,hawajui huku kwetu ni empire kubwa kuliko maelezo,kilicholeta ukanda na ukabila ni watu wa Chadema.

Tukiamua kuingia mazima kwenye kugombea madaraka hakuna rangi mtaacha ona.

Watubague tu na kututukana na wengi waonaotumia usemi huu wa kishenzi ni watu wa Kaskazini (CHAGA) na washirika wake

Wanadhani kitu hiki hakina madhara,kikimea kitaathiri sana vizazi vyao huko mbele,mzungu amegombanisha nchi kwa kujaza watu ujinga kama huu,leo tunaona waTanzania wako nje ya nchi wakitukana Ardhi yao waliyo zaliwa na mamlaka zilizoyokana na koo zao wenyewe,sababu ni ulafi wa madaraka na pesa
Tuliza mshono dawa ipenye,nyie si mlikuwa mnaonyesha chuki za wazi sasa mnalalama nn?
Kimara watu walibomolewa kisa wengi wachaga lakini mwanza akasema wasibomolewe kwasababu walimpa kura ilhali ilitakiwa wabomolewe
 
Dunia nzima inajua wachaga ni wezi, wana roho mbaya, wabinafsi, wakabila na wamejaa tamaa ya kila kitu.
Karibuni usukumani 2025 na chadema yenu chama cha kichaga na kilutheli. Mmetangaza vita ngumu sana kwenu.
Wewe Ni mpuuzi mkuu, wachaga wezi? Vipi escrow,meremeta,nk waliiba wachaga? Ripoti ya C.A.G imetaja ubadhirifu mkubwa ktk serikali ya jiwe vipi Ni wachaga?
Nyie umaskini wenu huko usukumani mnadhani wote Wana akili hizo za u primitive? Msipisoma mtazid kulalamika tu
Kuhusu 2025 vip kipindi cdm inaongoza majimbo kama meatu,maswa, nyamagana nk kulikuwa ni UCHAGANI huko? Wewe ni mpuuzi mno
 
Back
Top Bottom