Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Moto ambao haujafahamika umesababishwa na nini umewaka na kuteketeza vibanda vya biashara takriban 8 katika eneo la stendi ya Msamvu, usiku wa kumakia leo
Akizungumza baada ya kuudhibidti moto huo, Kamanda wa Uokoaji na Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali mali peke yake
Amesema eneo hilo vibanda hivyo vimebanana sana vikiwa zaidi ya 20 hivyo baada ya kuudhibiti moto ndio wataanza kuangalia thamani ya mali na chanzo cha moto