Ase nipo huku Moro Ila sijajua badoWanabodi,
Kuna taarifa kuwa majengo yaliyopo kwenye stendi ya mabasi ya Msamvu mkoani Morogoro yanaungua Moto usiku huu
Habari zaidi kufuatia
Sasa Rais wako anaua sector binafsi unategemea nini? BTW hali si nzuriKuna matatizo makubwa sana pale, ukienda tu vyoo huduma mbovu, sidhani kama kuna uongozi pale zaidi ya magenge ya waharifu na wezi. Ni dhahiri private sector ni muhimu ktk kuongoza miradi ya kimkakati.
Kuna matatizo makubwa sana pale, ukienda tu vyoo huduma mbovu, sidhani kama kuna uongozi pale zaidi ya magenge ya waharifu na wezi. Ni dhahiri private sector ni muhimu ktk kuongoza miradi ya kimkakati.