Jamaa haitishi rescue team wala fire anaitisha camera warekodi tukio[emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Huyu jamaa ni Bogas kabisa...
Mimi baada ya kuangalia video nimebaki namshangaa yeye, Bora angekaa kimyaa..
Hawa ndio maana wanakamatwa....
Ita Fire....
Toa support....
Nakataa kabisa kama amekosa kabisa cha kufanya, hata kusogeza/kuokoa mali za pembeni zisikutwe na moto..
Msaada ni watu na unaanza na mtu mmoja,
Fire nao sijui watajitetea kwa lipi....
Wanasingiziaga vichochoroni gari haziwezi pita, hapa je.....?, Wasije wakasema umbali hili ndio halitaingia akilini....
Ajali imetokea mjini...
Haitoshi tena stend...
Hio nayo haitoshi Stend kuu ya Mji...
Haitoshi nayo, Makao Makuu ya Mkoa...
Futuhi sijui tumerogwaa.....
Kuna ajali ilitokeaga kule Bariadi simiyu(ngoja nifukue ule uzi) eti gari la zima moto limefika tu site lianze uokoaji, wakiwa wanajipanga eti likaanguka?
Wananchi ndio wakaanza kuchota maji na mchanga kuzima moto, Gari limetulia tuu..
Mimi nilibaki mdomo wazi, Labda wewe mganga utatusaidia...