Msando login used to hack IEBC server, Uhuru must go - Raila

if they have evindence they should reveal it....words is nothing...
Odinga akubali amesha shindwa twajua kuwa kukubali kushindwa kwa mara ya kwanza huwa ni ngumu lakini it will take time and time will heal them.....they should accept.
They had tallying center...but we did not see those results.

The purpose of those tally centers was not to pronounce any results (because its illegal for any party or any one to announce result before IECB). But the aim was to counter check with what is published by IECB. IECB have fail so far to provide any proof with what they're tallying.
 
They might be responsible on Msandos death.....
Screenshot_2017-08-09-12-39-16.jpeg
 
Huwa simuelewi raila, juzi alisema hawezi kuibiwa ana vituo angani ( clouds) nje ya nchi mpaka ulaya, sa hvi analia tena.
Bahati nzuri waliyonayo wakenya mahakama inafanya kazi ipo independent.
Mwisho nimesikiliza kwenye tv mahali penye shida ni issue ndogo ni hvi, baada ya kupiga kura wakala wa mgombea husaini fomu 34A inayonyesha alichopata diwani kwenda juu mpaka rais kama wamekubaliana na mwakilishi wa kituo R.O, wakala husaini hiyo fomu na kutumwa kwa mtandao makao makuu ya tume.
Sasa raila anasema mtandao wa tume umeingiliwa lakini hasemi mahesabu ya mawakala wake ili yalinganishwe na kinachotangazwa na tume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASA wana hesabu zao za ndani lakini hawatakiwi kuzitoa hadharani kabla tume haijatoa matokeo ya hizo fomu. Maana wakitoa hadharani sasa hivi watakuwa wamevunja sheria, kama Maalim alivyofanya Zanzibar.
 
Kumbe ndio maana walimkata marehemu mkono?
Poor politicians Uhuru na wenzake

sent from Sokoro nkorambokande
 
Akubali tu kushindwa for the benefit of his country Kenya.Ila Msando kufa kumesababisha magumashi kwa kweli.
kuna probability kubwa sana msando aliuliwa na NASA...... as things stand......

hawa watu walitafuta kura za huruma, na sasa wanatafuta huruma za watu kupitia kifo cha msando....... sijaona sababu ya msingi ya kuingiza habar za msando kama they really have evidence kwamba matokeo sio yenyewe......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
if they have evindence they should reveal it....words is nothing...
Odinga akubali amesha shindwa twajua kuwa kukubali kushindwa kwa mara ya kwanza huwa ni ngumu lakini it will take time and time will heal them.....they should accept.
They had tallying center...but we did not see those results.
mfahamishe SIZONJE mwambie BEST WAKE analia😱 kaibiwa
 
Akubali tu kushindwa for the benefit of his country Kenya.Ila Msando kufa kumesababisha magumashi kwa kweli.
You cannot condone stupid behavior for the sake of peace, if evidence is there, Kenyans should fight for their right. Haki inatafutwa kwa gharama kubwa. ikibidi kumwaga damu imwage. wanyarwanda walimwaga damu kuipata amani waliyonayo
 
if they have evindence they should reveal it....words is nothing...
Odinga akubali amesha shindwa twajua kuwa kukubali kushindwa kwa mara ya kwanza huwa ni ngumu lakini it will take time and time will heal them.....they should accept.
They had tallying center...but we did not see those results.
Tapeli mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom