Msando login used to hack IEBC server, Uhuru must go - Raila

this guy amesumbua Kenya for so long....kila wakati hakubali...huyu jamaa aende home tu...kashashindwa
Watu aliotumia kuamka mapema kumpigia kura ndio tena anataka wakufe tena kwa sababu zake binafsi, na wengi wao ni masikini hohe hahe.sijawahi sikia mtu yeyote akisema baada ya kumtumikia kiongozi yeyote alimtoa kwenye ufukala alio ndani yake
 
Hivi IEBC wakisema walikua hawjalitoa jina la Msando kwenye system zao itakua aje...mi nadhani Raila kwa namna yoyote ile anatafuta nusu mkate, ile Canaan yake imeishia njiani

Msikilize vizuri mtaalamu wao wa IT. Na kwa uzoefu wangu mtaalam wao wa IT yuko sahihi. Hapa yawezekana kuna conspiracy.

Kwa kawaida kuna admin account yenye login details ambazo ufichwa na institution. Halafu admin wa database anaitumia hizo login details kufungua admin account yenye mamlaka ya juu kama ile itakayotunzwa na ofisi. Kutumia account ya marehemu ni rahisi sana, kwa sababu kwa kutumia ile akaunti ya juu, password ya marehemu inabadilishwa na mtu mwingine ku-access database kwa jina la marehemu. Haitaji kuondoa jina au akaunti ya marehemu ili kufanya uhuni kwenye database, kwa sababu yawezekana iliondolewa halafu ikatengenezwa tena ila itaonesha tarehe ya kufunguliwa.

Halafu kama kuna parameters ambazo zilisetiwa kabla ya uchaguzi na hazikutakiwa kubadilishwa tena, zimebadilishwa basi tume lazima itoe maelezo.
 
Watu wa IT tusaidieni kama madai ya odinga yana ukweli!

Hapa amepost hizo saver log in details

Raila Odinga
 
Yes and this was 2012...what do you want to tell? You should bear in mind was Chadema fans and I discover their nothing but opportunist ...
Hahahaha mkuu Leo unajitutumua na yai la malkia[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Tutakudai vyeti km kaka ako Bashite

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
I can see the smoke coming out of the chimney...
 
nimekupata Mkuu...sasa Raila hizi taarifa kama hakuzipata IEBC itakua nao wali hack wakakutana mahackers wa Jubileen na ma hackers wa Nasa...maana kama IEBC hawaja verify hizi taarifa means Raila has a hidden agenda...ngome zake zimeshambuliwa na hii itakua imemstua kiasi fulani sasa anatafuta namna gani ataingia serikalini kupitia mlango wa nyuma...shame on Him kutaka kumwaga damu ya innocent Kenyans ili atimize ndoto zake binafsi...IEBC yafaa wasema kama kweli they were hacked...
 
This why form 34A and 34B is needed to put the whole saga to rest. All NASA is asking, is the documents (which where supposed to be publish with the results by law), so that everyone can verify that election results were right and credible.
But they said forms zimeshabadikwa kwenye vituo vingi ambavyo wamemaliza kujumlisha kura...hii shughuli pevu kwa kweli...
 
Swali la kujiuliza hizo audit trails raila kazipataje?
Hakuna any other way, bila kuwa na access na systems. Either kuna mtu wa IEBC amewasaidia ky print hizo logs, au nao walikuwa na illegal access ya systems.

Kama hizo taarifa hazijatolewa na IEBC, basi odinga alikuwa na illegal access. Kingine, inawezekana walikuwa na backups ya database ya IEBC, na wakaja jaribu Ku manipulate ili Ku deceive.

Inawezekana Jubilee pia nao walikuwa na access, lakini pia odinga naye the same.
 
Chanzo cha migogoro mingi baada ya chaguzi katika nchi za Kiafrika inasababishwa na tume za uchaguzi. Kenya waangalie sana maana machafuko ni rais sana kutokea pale inapobainika kuwa mgombea aliyeshinda ameporwa ushindi kwa njama za wizi wa kura!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama NASA wametally vizuri Form za kila kituo cha kupigia kura watakuwa tayari wanajua kama wameshinda au wanaelekea kushinda au la. Na uzuri wa katiba ya Kenya inatoa siku saba kushughulikia matatizo au kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi mkuu kabla ya kutangaza mshindi. Sio kama bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyans my friends please accept the results these fucking politicians they won't get hurt when War start, I'm humbled to Pray God to avoid tou guys in danger situation don't make mistakes just like 2007 let uhuru rulling for second term for ur large benefit of ur country rather than starting war btn yourself guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…