Msando login used to hack IEBC server, Uhuru must go - Raila

Msando login used to hack IEBC server, Uhuru must go - Raila

But they said forms zimeshabadikwa kwenye vituo vingi ambavyo wamemaliza kujumlisha kura...hii shughuli pevu kwa kweli...
Ilivyo kubalika kisheria, ni kwanba matokeo yakishapatikana kituoni, na mawakala wa vyama vyote wakaafik, fomu 34 A-B zinajazwa na kuwekwa saini na wakala wote. Baada ya hapo fomu zinakuwa SCANNED kwenda makao makuu ya IEBC ili wakitoa majibu na hiyo fomu iko pembeni ya hayo lmajibu. Haya ndio yalikuwa makubaliano na yakawekwa kisheria. Sasa ukitoa matokeo hewani bila hiyo fomu, kisheria hayo matokeo ni batili.
 
Ilivyo kubalika kisheria, ni kwanba matokeo yakishapatikana kituoni, na mawakala wa vyama vyote wakaafik, fomu 34 A-B zinajazwa na kuwekwa saini na wakala wote. Baada ya hapo fomu zinakuwa SCANNED kwenda makao makuu ya IEBC ili wakitoa majibu na hiyo fomu iko pembeni ya hayo lmajibu. Haya ndio yalikuwa makubaliano na yakawekwa kisheria. Sasa ukitoa matojeo hewani bila hiyo fomu, kisheria hayo matokeo ni batili.
nimekwelewa kama hayo makumbaliano yalikuwepo basi kuna tatizo na yawezekana Uhuru anaongoza kuhalali ila sasa kwa kukosa hizi form basi Nasa wamepata pa kuanzia
 
Msikilize vizuri mtaalamu wao wa IT. Na kwa uzoefu wangu mtaalam wao wa IT yuko sahihi. Hapa yawezekana kuna conspiracy.

Kwa kawaida kuna admin account yenye login details ambazo ufichwa na institution. Halafu admin wa database anaitumia hizo login details kufungua admin account yenye mamlaka ya juu kama ile itakayotunzwa na ofisi. Kutumia account ya marehemu ni rahisi sana, kwa sababu kwa kutumia ile akaunti ya juu, password ya marehemu inabadilishwa na mtu mwingine ku-access database kwa jina la marehemu. Haitaji kuondoa jina au akaunti ya marehemu ili kufanya uhuni kwenye database, kwa sababu yawezekana iliondolewa halafu ikatengenezwa tena ila itaonesha tarehe ya kufunguliwa.

Halafu kama kuna parameters ambazo zilisetiwa kabla ya uchaguzi na hazikutakiwa kubadilishwa tena, zimebadilishwa basi tume lazima itoe maelezo.

Tume isijibu kwa haraka na Wala isitangaze final results (of which they can do so at midnight ili watu waamke na mshangao huku wakiwasubiri barabarani wawapige na walichonacho). Results zitangazwe pale tu Forms zitakapotolewa na NASA kuridhia
 
Nashangaa mpaka sasa hivi hawajaweka namba zao hadharani.
Kufanya hivyo ni kinyume cha sheria ya uchaguzi Kenya. Mtangazaji hadharani ni IEBC peke yake. Tally center za NASA ni zakujiridhisha wenywe kama matokeo waliyo nayo yanashabihina na ya IEBC.
 
Acheni upumbavu mtachinjana kama 2007 na wanao faidika ni hao viongozi.. Vinginevyo kina Raila, Uhuru, Ruto nao wangekuwa marehemu badala yake waliokufa ni raia

Kubalini yaishe tu hii ndio Africa
Mkuu kama kuna ukweli katika hayo madai nako wakae kimya eti ili yaishe wabongo kwa uoga dah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe walimuua ili waje waseme hivi?
am getting d concept now

try me
 
How can a hacker login na account ya Msando akijua anaweza patikana? Kazi ya kuhack si kulogin, thats adumb mistake. Chances are these guys are using Msandos name to incite Kenyans
kabisa kabisa.

halafu, kwenye login kuna biometric step. ina maana Msando amefufuka (amefufuliwa)?

beyond me!
 
Huwa simuelewi raila, juzi alisema hawezi kuibiwa ana vituo angani ( clouds) nje ya nchi mpaka ulaya, sa hvi analia tena.
Bahati nzuri waliyonayo wakenya mahakama inafanya kazi ipo independent.
Mwisho nimesikiliza kwenye tv mahali penye shida ni issue ndogo ni hvi, baada ya kupiga kura wakala wa mgombea husaini fomu 34A inayonyesha alichopata diwani kwenda juu mpaka rais kama wamekubaliana na mwakilishi wa kituo R.O, wakala husaini hiyo fomu na kutumwa kwa mtandao makao makuu ya tume.
Sasa raila anasema mtandao wa tume umeingiliwa lakini hasemi mahesabu ya mawakala wake ili yalinganishwe na kinachotangazwa na tume.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio hujasoma kwa makusudi au hujui kusoma ile lugha sasa unasema hajasema ameshatweet kabisa kwa hesabu zake ni 8.2 na Jamaa mwngne yule 7.1m
 
This why form 34A and 34B is needed to put the whole saga to rest. All NASA is asking, is the documents (which where supposed to be publish with the results by law), so that everyone can verify that election results were right and credible.
Ok you should go to court! And your trying to tell Raila votes are also fake...?
 
Watu aliotumia kuamka mapema kumpigia kura ndio tena anataka wakufe tena kwa sababu zake binafsi, na wengi wao ni masikini hohe hahe.sijawahi sikia mtu yeyote akisema baada ya kumtumikia kiongozi yeyote alimtoa kwenye ufukala alio ndani yake
Wewe ni Kikuyu?
 
Hata huku tulipigwa na muungaji mkono wako.
Tulia munyolewe
Mimi nimefurahi kweli huyu Luo kupigwa na kile kiswahili chake cha kumumunya kama amemeza spana mdomoni.
Hafu jamaa anaonekana ni katili sana kama jamaa yake jua kali.
 
Back
Top Bottom