Msando si chaguo sahihi kwa Arusha na wana Arusha, namshauri afunge breki

Msando si chaguo sahihi kwa Arusha na wana Arusha, namshauri afunge breki

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!!

Huyu Msando anayejipendekeza kwa wana Arusha na mshauri aache kutafuta publicity kwa vyombo vya habari na kujipendekeza kulamba lamba miguu wakubwa.

Arusha kwa sasa haimtaki mtu kama Msando au Lema. Wana Arusha wanataka kiongozi Mzalendo anayeipenda Arusha na kuwapenda wana Arusha pia ili kuweza kuirudisha Arusha katika misingi yake ya kuwa kitovu cha utalii nchini. Pia Arusha inahitaji mtu mwenye kuthamini maisha ya wana Arusha, sio kiongozi anyetafuta nafasi kwa masilahi binafsi kama wakina Msando na Lema.

Tokea nianze kusimsikia huyu Msando, sijawahi kuona hata akitoa mfuko mmoja wa sementi kwa ajili hata ya kujenga darasa mojo hapa Arusha,Tafsiri yake ni kiongozi anyetafuta nafasi hii kwa masilahi binafsi. Naamini kwa utawala huu wa Dr. John Pombe Magufuli, watu kama hawa hawatapata nafasi ya kuwahadaa na kuwalaghai wananchi.

Heri hata huyu Monoban, ambaye tunaona akisapoti wakina mama wajasiriamali na ujenzi wa Shule mbalimbali; ni mtu anayeonesha kwa vitendo nia yake ya ndani.

Ila mimi naishauri CCM wajaribu kujibu mahitaji ya wana Arusha kwa kutuletea mtu Mzalendo na anaweza kumsaadia Rais Magufuli kufufua uchumi wa Arusha iliyokufa kwa muda mrefu sasa.

Naamini Arusha ina hazina ya viongozi sana, sio mpaka tuletewe watu kama wakina Msando no, no; au Lema. Arusha inahitaji ipumue na serikali ya Rais Magufuli iyone Arusha ni sehemu sahihi ya kuekeza kwa masilahi ya taifa.

Itaendelea...
 
Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, then watafute mtu wa design ya kichalii chalii wa type ya machalii wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii wao aliyepo, bado yupo yupo sana tuu!.
P
 
Yote Kwa Yote wewe ni Nani kufanya kizuizi cha mtu kutaka Jimbo lolote nchini?
 
Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P
Kiufupi ni kuwa sisi hatupangiwi. Tunamchagua tunaemtaka sisi.

Wamuulize Batilda Buriani alivyotumwagia pesa (kodi ya wananchi) halafu kwenye ballot box tukamtosa tukampa chalietu kura.
 
Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P
Ndiyo maana mjanja kumbe hujakulia kwenye tembe?
 
Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P

Unajua Pascal watu waarusha ni watu wanaopenda kuwa na mtu potential katika uongozi na nikuhakikishie kiongozi kama Lema na type nyingine ya watu wanaofanana na Lema,kwasasa kwa Arusha hawana nafasi,tusubiri tuone.
 
Mrushaji Mbogaa ana haha hasa Arusha ina wagombea wake kumbuka tangu wakati wa Makongoro. Kama huna rizimu za kiaraara pita hivi.
 
Back
Top Bottom