Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Then ikisha futwa Nini kitafuatia??Kitu kikubwa ni Chadema kufutwa Arusha
Msifanye makosa
Singida, Dodama, Shinyanga, Tanga, Mara, Simiyu, Morogoro, Rukwa, Ruvuma, Geita, Katavi, Iringa, Mtwara, Kigoma, Tabora n.k wamejaa mafukara kuna Chadema?Itakuwa ni maendeleo tu vibaraka wa mabeberu tumewachoka
Singida, Dodama, Shinyanga, Tanga, Mara, Simiyu, Morogoro, Rukwa, Ruvuma, Geita, Katavi, Iringa, Mtwara, Kigoma, Tabora n.k wamejaa mafukara kuna Chadema?
Nyumba za tembe ndiyo utajiri?Hiyo mikoa uliyoitaja ndio inalisha Tanzania, mtu aliyeshiba utamwita masikini?
Ujinga ni mzigo
Nyumba za tembe ndiyo utajiri?
Au wao ndiyo wapata laana? hiyo mikoa maji, umeme, barabara, miundo mbinu ya elimu, afya yote shida tupuHuo ni utamaduni wa watu Mkuu usithubutu kuzarau utapata laana
Kiufupi ni kuwa sisi hatupangiwi. Tunamchagua tunaemtaka sisi.Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P
Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P
Ndiyo maana mjanja kumbe hujakulia kwenye tembe?Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P
Japo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, than watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii bado yupo sana tuu!.
P