Hapo vip!!
Huyu Msando anayejipendekeza kwa wana Arusha na mshauri aache kutafuta publicity kwa vyombo vya habari na kujipendekeza kulamba lamba miguu wakubwa.
Arusha kwa sasa haimtaki mtu kama Msando au Lema. Wana Arusha wanataka kiongozi Mzalendo anayeipenda Arusha na kuwapenda wana Arusha pia ili kuweza kuirudisha Arusha katika misingi yake ya kuwa kitovu cha utalii nchini. Pia Arusha inahitaji mtu mwenye kuthamini maisha ya wana Arusha, sio kiongozi anyetafuta nafasi kwa masilahi binafsi kama wakina Msando na Lema.
Tokea nianze kusimsikia huyu Msando, sijawahi kuona hata akitoa mfuko mmoja wa sementi kwa ajili hata ya kujenga darasa mojo hapa Arusha,Tafsiri yake ni kiongozi anyetafuta nafasi hii kwa masilahi binafsi. Naamini kwa utawala huu wa Dr. John Pombe Magufuli, watu kama hawa hawatapata nafasi ya kuwahadaa na kuwalaghai wananchi.
Heri hata huyu Monoban, ambaye tunaona akisapoti wakina mama wajasiriamali na ujenzi wa Shule mbalimbali; ni mtu anayeonesha kwa vitendo nia yake ya ndani.
Ila mimi naishauri CCM wajaribu kujibu mahitaji ya wana Arusha kwa kutuletea mtu Mzalendo na anaweza kumsaadia Rais Magufuli kufufua uchumi wa Arusha iliyokufa kwa muda mrefu sasa.
Naamini Arusha ina hazina ya viongozi sana, sio mpaka tuletewe watu kama wakina Msando no, no; au Lema. Arusha inahitaji ipumue na serikali ya Rais Magufuli iyone Arusha ni sehemu sahihi ya kuekeza kwa masilahi ya taifa.
Itaendelea...

Arusha atagombea Mbowe kwa tiketi ya CCM!johnthebaptist hamuwezi kuchagua mtu ambaye hajawahi kutoa mfuko wa cement,unga au Sukari ?
Arusha atagombea Mbowe kwa tiketi ya CCM!
Sasa Monaban ata kupa nini na kiwanda amenyanganywa? Nikidhani una taka kuwahi kiroba cha kg tano pale.Hapo vip!!
Huyu Msando anayejipendekeza kwa wana Arusha na mshauri aache kutafuta publicity kwa vyombo vya habari na kujipendekeza kulamba lamba miguu wakubwa.
Arusha kwa sasa haimtaki mtu kama Msando au Lema. Wana Arusha wanataka kiongozi Mzalendo anayeipenda Arusha na kuwapenda wana Arusha pia ili kuweza kuirudisha Arusha katika misingi yake ya kuwa kitovu cha utalii nchini. Pia Arusha inahitaji mtu mwenye kuthamini maisha ya wana Arusha, sio kiongozi anyetafuta nafasi kwa masilahi binafsi kama wakina Msando na Lema.
Tokea nianze kusimsikia huyu Msando, sijawahi kuona hata akitoa mfuko mmoja wa sementi kwa ajili hata ya kujenga darasa mojo hapa Arusha,Tafsiri yake ni kiongozi anyetafuta nafasi hii kwa masilahi binafsi. Naamini kwa utawala huu wa Dr. John Pombe Magufuli, watu kama hawa hawatapata nafasi ya kuwahadaa na kuwalaghai wananchi.
Heri hata huyu Monoban, ambaye tunaona akisapoti wakina mama wajasiriamali na ujenzi wa Shule mbalimbali; ni mtu anayeonesha kwa vitendo nia yake ya ndani.
Ila mimi naishauri CCM wajaribu kujibu mahitaji ya wana Arusha kwa kutuletea mtu Mzalendo na anaweza kumsaadia Rais Magufuli kufufua uchumi wa Arusha iliyokufa kwa muda mrefu sasa.
Naamini Arusha ina hazina ya viongozi sana, sio mpaka tuletewe watu kama wakina Msando no, no; au Lema. Arusha inahitaji ipumue na serikali ya Rais Magufuli iyone Arusha ni sehemu sahihi ya kuekeza kwa masilahi ya taifa.
Itaendelea...
CCM itawale ili iwaletee wananchi maendeleo na sio maandamano.
Katika watanzania ambao wanaufukara wa akili ni wewe namba moja,soma thread uelewe vizuri..hakuna mtu wa Arusha anayetaka kuletewa unga wala cement ila tunataka kiongozi anaweza kusapport maendeleo.Mfano kiongozi anayetoa support katika ujenzi wa madarasa mashuleni na mikopo kwa wajasiriamali wadogo,maana yake huyo akipewe uongozi anaweza kusaidia jamii hiyo kwa mapana zaidi..Na kazi ya kiongozi ndio hii,sio ombi ni wajibu wa kiongozi kusupport maendeleo.Hivyo siku nyingine jaribu kutumia akili yako sawa,sawa.Sasa Monaban ata kupa nini na kiwanda amenyanganywa? Nikidhani una taka kuwahi kiroba cha kg tano pale.
Hivi ni lini vijana wa Ccm mta acha kupenda vitu vya kupewa. Mfuko wa cement wa kuhongwa una thamani gani kuuza kura yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Monaban, tumekusikia, kalale sasa tuachie maamuziHapo vip!!
Huyu Msando anayejipendekeza kwa wana Arusha na mshauri aache kutafuta publicity kwa vyombo vya habari na kujipendekeza kulamba lamba miguu wakubwa.
Arusha kwa sasa haimtaki mtu kama Msando au Lema. Wana Arusha wanataka kiongozi Mzalendo anayeipenda Arusha na kuwapenda wana Arusha pia ili kuweza kuirudisha Arusha katika misingi yake ya kuwa kitovu cha utalii nchini. Pia Arusha inahitaji mtu mwenye kuthamini maisha ya wana Arusha, sio kiongozi anyetafuta nafasi kwa masilahi binafsi kama wakina Msando na Lema.
Tokea nianze kusimsikia huyu Msando, sijawahi kuona hata akitoa mfuko mmoja wa sementi kwa ajili hata ya kujenga darasa mojo hapa Arusha,Tafsiri yake ni kiongozi anyetafuta nafasi hii kwa masilahi binafsi. Naamini kwa utawala huu wa Dr. John Pombe Magufuli, watu kama hawa hawatapata nafasi ya kuwahadaa na kuwalaghai wananchi.
Heri hata huyu Monoban, ambaye tunaona akisapoti wakina mama wajasiriamali na ujenzi wa Shule mbalimbali; ni mtu anayeonesha kwa vitendo nia yake ya ndani.
Ila mimi naishauri CCM wajaribu kujibu mahitaji ya wana Arusha kwa kutuletea mtu Mzalendo na anaweza kumsaadia Rais Magufuli kufufua uchumi wa Arusha iliyokufa kwa muda mrefu sasa.
Naamini Arusha ina hazina ya viongozi sana, sio mpaka tuletewe watu kama wakina Msando no, no; au Lema. Arusha inahitaji ipumue na serikali ya Rais Magufuli iyone Arusha ni sehemu sahihi ya kuekeza kwa masilahi ya taifa.
Itaendelea...
Mr know it all, kaka uelekeo umepoteza, angalia ni wapi ulipo anguka ukatubuJapo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, then watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii wao aliyepo, bado yupo yupo sana tuu!.
P
EXACTLY BROJapo naunga mkono hoja, ila kwa vile mimi nimesomea Arusha, nawafahamu machalii wa Arachuga, wana taka mtu wa type gani, kama ni kweli CCM inalitaka jimbo la EIARA, then watafute mtu wa type ya wana Arachuga zaidi ya huyo aliyepo, vinginevyo huyo chalii wao aliyepo, bado yupo yupo sana tuu!.
P
Akili yako iko makalioniKitu kikubwa ni Chadema kufutwa Arusha
Msifanye makosa
Kitu kikubwa ni Chadema kufutwa Arusha
Msifanye makosa
wewe hauwezi kufahamu haya mambo.Unataka kusema mbunge ndo kaua huo uchumi wa arusha na sio serikali. Bange mbaya sana.